Nimewamiss hawa watu Jamani

Nimewamiss hawa watu Jamani

Halafu wewe una kesi ya kujibu kwanini unasahau birthday yako???

hahahah lol
we acha tu
si wajua tena ilikuwa Jmosi usiku
ndo nilirudi home kutoka maeneo nikaingia humu ..
nilchostukia asubuhi nakuta thread lol

ndo nimeamua nikiwa tungi siingii humu..:sick:
 
The Following User Says Thank You to Bubu Ataka Kusema For This Useful Post:

Dena Amsi (Today)​
 
hahahah lol
we acha tu
si wajua tena ilikuwa Jmosi usiku
ndo nilirudi home kutoka maeneo nikaingia humu ..
nilchostukia asubuhi nakuta thread lol

ndo nimeamua nikiwa tungu siingii humu..:sick:

Punguza busa mtoto
 
Me miss u too Dena... Come kwa Kanisa kwa ile mass ya jioni...Ok?
 
Back
Top Bottom