Wakati najiunga jf kulikuwa na hawa watu.
Lady doctor
Kipaji Halisi
Bishanga
Hawa ni legends Wa JF pamoja na akina
Nyani ngabu
The boss
Mentor
Faizafoxy
Dark City
AshaDiii
Kiranga
N wengine wengine
Hawa walinivutia na Mimi kujiunga mwaka 2012
But kati ya 2010 -2012 nili kuwa guest user tu
Nilivutiwa na nondo zilizokuwa zinatupiwa humu
Hakika nimejifunza mengi hapa JF
Kwangu Mimi JF ni sehumu ya kwanza kupata habari za yanayojiri nchini na duniani
Na pia kupata maarifa kadha Wa kadha
JF na idumu[emoji2]