Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Haya mpendwa nimekuelewaNilikuwa nataka ushemeji kwa sababu siku hizi ushemeji ni dili!!....Hivi hujui kuwa siku hizi tofauti ya mume na shemeji ni ndogo sana mpendwa???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mpendwa nimekuelewaNilikuwa nataka ushemeji kwa sababu siku hizi ushemeji ni dili!!....Hivi hujui kuwa siku hizi tofauti ya mume na shemeji ni ndogo sana mpendwa???
Shemeji buana!![emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya mpendwa nimekuelewa
Nimekumisimo jamani?Wewe pipo upo
We hauna majukumu?
Utashinda mmu utakula nyasi awamu hii ya 5
Ndio useme vizuri huwa unakwenda wapi maana hata mimi sikukuonaJukumu langu ni kukuridhisha wewe ndio maana kuna siku huwa sionekani.
Nimekumisimo jamani?
Ndio useme vizuri huwa unakwenda wapi maana hata mimi sikukuona
Nimekumisimo jamani?
Hahaha bila shaka waniona leo hapa...cnaga mda wa kushinda humuHizo nyasi ntaanza kukulisha wewe.
mie nimehamia siasanii....btw mekumiss pia
Hahaha bila shaka waniona leo hapa...cnaga mda wa kushinda humu
Sasa ole nije nigundue tofauti, haki nitaliaaaa alafu........Siku usiponiona nakuwa nimeenda kukutafutia mkate my love.
Wow!! Hata sijaamini, how are you my darling sister.mie nimehamia siasanii....btw mekumiss pia
Sasa ole nije nigundue tofauti, haki nitaliaaaa alafu........
Thats why i love you sweetie.Shaka ondoa mpnz, I will always be at your disposal.
Thats why i love you sweetie.
Twende tukalale sasa, muda wangu huu.I love you more sweetheart
Si huo hapo au hauoni?Wapi mguu