Nimewamiss watu wangu wa nguvu

Nimewamiss watu wangu wa nguvu

OK buda, but looking for a man clearly shows something is wrong buda!
Hii ni kitu nimetoka kumwambia mmoja, mwanamke unatafutaje mwanaume? Lazima kuna kitu hakopo sawa maana mwanamke yoyote anayejielewa simu yake imejaa mitongozo ya kila aina, sasa kweli wote hao wawe hawafai uje utafute mume kwenye fake id? Hapa ndio sijawahi kuelewa
Nahitaji somo kubwa sana kwenye hili
 
Kuna kitu nilikuwa nataka kuandika lakini ghafla uzi wa selfika ukakatiza kichwani shaaa😁😁nikaona isiwe tabu kikubwa uhai
 
Back
Top Bottom