Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@joanah nilikumiss pia. Kama umeachwa naomba hilo pengo nilizibe chap kwa haraka lisibaki wazi mda mrefu vibaka watavamia.[emoji23][emoji23]
Bebe rafiki yule mkaka wa jf alinikataza kuingiza humu...sa ivi nimeachwa ndio maana unaniona
Tumekumiss na sisi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekubali ila naomba usinikataze kuingia humu..nawamiss sana
Sikukatazi mamalai, we ingia mda wowote hata usiku wa manane, taniana nao wote ila wakizidi offside linesman nipo nitainua kibendera.[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekubali ila naomba usinikataze kuingia humu..nawamiss sana
Dj yupo mbona sema anaingia kwa machale km vileNakuachaje sasa shareholder
Katika party lazima uwepo
Dj kashabadili jina nini?
😀😀😀😀😀Mimi je
Nina heshima sana na upendo wa dhati
🤣🤣🤣[emoji23][emoji23]
Bebe rafiki yule mkaka wa jf alinikataza kuingiza humu...sa ivi nimeachwa ndio maana unaniona
Nipo twinnie. Ahsante kwa kunikumbuka jamaani.Nzuri kabisa twinnie
Nimekukumbuka sana my dia
Huu uzi sijauona nilikuwa wapi jamani tumekumiss pia mpenzi [emoji8][emoji8][emoji8] tunakupenda joanah ufanye urudi bwana jf kama zamani
Huu uzi sijauona nilikuwa wapi jamani tumekumiss pia mpenzi [emoji8][emoji8][emoji8] tunakupenda joanah ufanye urudi bwana jf kama zamani