Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliyemmiss siku hizi hanipendi, hata nikimquote hajibu
Jina lake limefanana na aina ya simuNitajie nikamweke kitako.
Jina lake limefanana na aina ya simu
Umeanza mwenza huyu mwingine auNiliyemmiss siku hizi hanipendi, hata nikimquote hajibu
We naanzaje kutokukumiss jamaniNami hujanimiss?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzaaaaaa. Huyu ni mwingine si unajua mume mmoja anachosha??Umeanza mwenza huyu mwingine au
Hahaha huyu nani tena analijua hilo sasa yule ana maadili au foleni maana naonaga anashushiwa mathread tu nikasema mwenza sijui kama ataweza hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzaaaaaa. Huyu ni mwingine si unajua mume mmoja anachosha??
Yule mwingine tatizo lake ana maadili mno..
Huyu anajua basi tu anazingua. Mwenzangu foleni pia ilinishinda kwa yule mr maana wivu kila siku lohHahaha huyu nani tena analijua hilo sasa yule ana maadili au foleni maana naonaga anashushiwa mathread tu nikasema mwenza sijui kama ataweza hapa
Hahahhahaa si kwa foleni ile sasa huyu anajua si umfate pm sasa ya nn kuumiaHuyu anajua basi tu anazingua. Mwenzangu foleni pia ilinishinda kwa yule mr maana wivu kila siku loh
Hahahhahaa si kwa foleni ile sasa huyu anajua si umfate pm sasa ya nn kuumia
Hahhahahah nimekuonea huruma mwenza ulivyoongea kwa upole jamani au ulimdengulia sana we mfate pm muulize kuna nn nimekukosea nikuombe msamaha mengine yatakujaHuyu tulikuwa tunapendana. Simuelewi tu siku hizi kabadilika nahisi hanitaki tena
We naanzaje kutokukumiss jamani