Nimewamiss

Nimewamiss

Mie je?halafu siku hizi haupatikani kabisa!!!
 
Umeanza mwenza huyu mwingine au
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzaaaaaa. Huyu ni mwingine si unajua mume mmoja anachosha??
Yule mwingine tatizo lake ana maadili mno..
 
Hahaha huyu nani tena analijua hilo sasa yule ana maadili au foleni maana naonaga anashushiwa mathread tu nikasema mwenza sijui kama ataweza hapa
 
Huyu anajua basi tu anazingua. Mwenzangu foleni pia ilinishinda kwa yule mr maana wivu kila siku loh
 
Hahahhahaa si kwa foleni ile sasa huyu anajua si umfate pm sasa ya nn kuumia
 
Huyu tulikuwa tunapendana. Simuelewi tu siku hizi kabadilika nahisi hanitaki tena

Hahhahahah nimekuonea huruma mwenza ulivyoongea kwa upole jamani au ulimdengulia sana we mfate pm muulize kuna nn nimekukosea nikuombe msamaha mengine yatakuja
 
Back
Top Bottom