Nimewaona Chaumma wakisomba watu kuelekea Mkutanoni hapo Tabata Shule

Nimewaona Chaumma wakisomba watu kuelekea Mkutanoni hapo Tabata Shule

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT
Wonders shall never end leo chauma wanakazi moja tu kusomba.watu kutoka viunga mbalimbali vya Tabata kwa ajili ya mkutano.

Naona wanafauta nyao za wafadhili wao. Leo daladala zimepata tenda nzuri.

NRNE
 
Ujinga na umaskini ndiyo vyanzo vikuu vya matatizo hapa Tanzania. Hongo ya buku 10 inabadili mwelekeo wa siku nzima
 
Back
Top Bottom