GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #81
Acha waendelee tu KUNIDHARAU na kunichukulia POA Mimi GENTAMYCINE hapa JamiiForums.Uko vizuri ni wakati wao sasa kusikiliza ushauri
Yet another HATER, FOOL and a WITCH.Leo mbona kazi ipo!
Subiri nyuzi kama alfu saba hivi, kutoka kwake.
Leo saa mbovu imesema kweli.
Mbona Yanga alishinda 3 kwenye uwanja huo mbaya dhidi ya team uliyotoa nayo draw ya 2-2 kwenye uwanja mzuri wa chamazi..?Ila ki ukweli achilia mbali mambo ya ulozi ya Genta..ila uwanja ni mbaya mnoo hauruhusu mpira utembee
Moron.Uliwasaidia hao Simba kuloga? Uwe na akiba ya maneno..kwahyo kama jwaneng walilalamikiwa mpka na wydad kuhusu practising witchcraft uliona wao ni malaika?
GENTAMYCINEPurely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer"
Acha matusi bwashee...moron mwenyeweMoron.
Team gani?Mbona Yanga alishinda 3 kwenye uwanja huo mbaya dhidi ya team uliyotoa nayo draw ya 2-2 kwenye uwanja mzuri wa chamazi..?
Mzee wangu Popoma, ndugu zako kolowizards wafike hatua wakukabidhi kitengo Cha vibwengo ujue. Waache ubishi!Najua HATERS na HYPOCRITES wa mfano wako mmeumia mno na Mimi kupatia kile nilichokionya awali ( jana Jumanne ) hapa JamiiForums.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Kudadadeki......!!
Kweli Yanga ni kubwa,kufungwa ufungwe na timu nyingine lawama anapewa Yanga.Kumbe huo uwanja yanga wameshaujambia...duuuh
KMCTeam gani?
Soma juu mada inasemaje...Kweli Yanga ni kubwa,kufungwa ufungwe na timu nyingine lawama anapewa Yanga.
Ilichezwa hapo ilipocheza Simba?
ndugu zangu wa Kinondoni, KMC.Team gani?
NdioIlichezwa hapo ilipocheza Simba?
Mkuu mimi hata sio hater wako,mbona tuko pa1 thread zako nyingi tu,nilichofurahi leo umeupiga mwingi mpaka unamwagika 😀Najua HATERS na HYPOCRITES wa mfano wako mmeumia mno na Mimi kupatia kile nilichokionya awali ( jana Jumanne ) hapa JamiiForums.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Kudadadeki......!!
Daah umetisha sana, Waguma mukwano?Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Nimetulia mama....Tulia
Mama yangu wa kufikia unawivu sana juu ya mke mwenzio.Kama Mamaako Mzazi vile.