Nimewaonya mapema tu kuwa kamwe msiutumie Uwanja wa Jamhuri Morogoro kama wa Nyumbani, bali tumieni CCM Mkwakwani Tanga mmenipuuza Asanteni

Nimewaonya mapema tu kuwa kamwe msiutumie Uwanja wa Jamhuri Morogoro kama wa Nyumbani, bali tumieni CCM Mkwakwani Tanga mmenipuuza Asanteni

Ila ki ukweli achilia mbali mambo ya ulozi ya Genta..ila uwanja ni mbaya mnoo hauruhusu mpira utembee
Mbona Yanga alishinda 3 kwenye uwanja huo mbaya dhidi ya team uliyotoa nayo draw ya 2-2 kwenye uwanja mzuri wa chamazi..?
 
Uliwasaidia hao Simba kuloga? Uwe na akiba ya maneno..kwahyo kama jwaneng walilalamikiwa mpka na wydad kuhusu practising witchcraft uliona wao ni malaika?
Moron.
 
Najua HATERS na HYPOCRITES wa mfano wako mmeumia mno na Mimi kupatia kile nilichokionya awali ( jana Jumanne ) hapa JamiiForums.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!

Kudadadeki......!!
Mzee wangu Popoma, ndugu zako kolowizards wafike hatua wakukabidhi kitengo Cha vibwengo ujue. Waache ubishi!
 
Najua HATERS na HYPOCRITES wa mfano wako mmeumia mno na Mimi kupatia kile nilichokionya awali ( jana Jumanne ) hapa JamiiForums.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!

Kudadadeki......!!
Mkuu mimi hata sio hater wako,mbona tuko pa1 thread zako nyingi tu,nilichofurahi leo umeupiga mwingi mpaka unamwagika 😀
 
Nimetulia mama....
FB_IMG_1709755418082.jpg
 
Back
Top Bottom