Nimewashangaa sana Lissu na Heche baada ya kusikiliza mjadala wa Royal Tour kwenye Club House ya Maria Sarungi

Msomi anasema sababu kubwa ya sisi kuwa na idadi ndogo ni kung'ang'ania traditional markets halafu unapongeza Royal Tour inayolenga wamarekani! Hivi anadhani traditional market yetu ya utalii ni ipi? Halafu ana temerity ya kuwasemea ovyo wale wanao criticize Royal Tour! Seriously?

Amandla...
 
Kwamba serikali imesema Royal tour ndio the ultimate solution kuhusu kutangaza Utalii?
 
Kuna kipi ambacho hao watalii walikuwa hawakijui kuhusu tz labda? Tujipe muda tuone kama watakuja. In short tumekua wazalendo kwenye mambo ya kawaida tumeyapuuzia masuala muhimu
Tumekuwa huru miaka 60 lakini bado tunaamini kuwa sababu kubwa za watalii kutokuja ni wao kutojua Tanzania iko wapi na imani yao kuwa Kilimanjaro iko Kenya! Na kuna ile dhana nyingine kuwa tukiwapelekea ndege zetu watajazana kuja Tanzania maana mpaka sasa njia ya kuja hawaijui!

Tunapenda mno majibu mepesi kwa maswali magumu.

Amandla...
 
Ndivyo inavyoelekea. Kuwa ni magic bullet itakayofungua milango.

Amandla...
Sema Kama serikali imesema hivyo. Kuanza kutumia hisia KUJENGA conclusion Ni UJUHA.

Suala la kutangaza Utalii Ni endelevu. Huko nyuma imefanyika miradi mikubwa ya kutangaza Utalii kuliko hata hiyo documentary ya Royal tour.

Kuna English premier league, Kuna Documentary ( CNN )

Wanasiasa sasa hivi hawana agenda, wanaendeshwa na kila mwanaharakati
 
Hawa viongozi kama kina Tundu Lissu na John Heche wanapaswa pia kuwa na Principles fulani za kusimamia!
Huwezi kuwa kila wakati unaongea ongea tu!
Hakuna mtu anayejua kila kitu na huwezi kuhojiwa na kila mtu!
Naona hizi Space na Club house zimeshusha sana credibility za hawa watu na kuwafanya irrelevant kabisa!
Nilicheka sana kwenye mjadala wa uhifadhi na uhamishaji wa Wamasai kutoka Ngorongora kulinda uhifadhi.
Mchungaji Msigwa akawa anatema madini huku Tundu Lissu ameng'ang'ania Wamasai waachwe ila wakati wa mvua wawe wanahamia milimani! Akatema pumba siyo za Nchi hii!
haha, Mkuu, jamaa wanayo misingi, ambayo ni kupinga kila kilichopo!
 
Sema Kama serikali imesema hivyo. Kuanza kutumia hisia KUJENGA conclusion Ni UJUHA.

Suala la kutangaza Utalii Ni endelevu. Huko nyuma imefanyika miradi mikubwa ya kutangaza Utalii kuliko hata hiyo documentary ya Royal tour.

Kuna English premier league, Kuna Documentary ( CNN )

Wanasiasa sasa hivi hawana agenda, wanaendeshwa na kila mwanaharakati
Wewe sio wa kwanza kuniita juha. Na hautakuwa wa mwisho. Matamshi ya watetezi wa hii Royal Tour, ndani na nje ya serikali, ndio yanatufanya tuamini kuwa wanaamini kuwa hii tour ndio itafungulia milango ya watalii kuja kwa wingi Tanzania.

Sasa wewe msomi unaejua kujenga hoja unadumbukizaje maneno Premier League na Documentary (CNN) bila kutuambia yanahusiana vipi na huu mjadala! Au ndio mifano ya miradi mikubwa ya utalii iliyozidi hii Royal Tour? Kama ni hivyo, tuambie iliuzidi vipi?

Na itaendelea kuitwa JUHA kwasababu kwanza huna fikra na hoja zako mwenyewe kea uelewa wako.

Leta hapa huo ushahidi kuwa serikali imesema Royal tour ndio suluhisho la kila kitu kwenye Utalii.
 
Nina rafiki msomi na yuko Chadema kufa na kupona, amekuwa sana akiniambia kuhusu Club house inayoendeshwa na Maria Sarungi. Leo nikaamuwa nami nisikilize mjadala wa Royal Tour ambapo Mary Sarungi alikuwa akiwahoji Tundu Lisu na John Heche. Kwakweli baada ya kusikiliza mjadala na kusikiliza hoja zao kuhusu kupinga Royal Tour nimewadharau sana Lisu, Heche na Maria Sarungi mwenyewe.

I won't go into details ila nitataja hoja moja moja tu za Lisu na Heche ambazo kwanza nashangaa wanakuwaje viongozi wakubwa hivyo ndani ya chama kikubwa.

1. Lisu anasema SSH kaenda US kutangaza utalii wakati wakiti watalii wakija ni wageni wa private serious?????? Kweli huyu ilikuwa anaomba Urais mtu asiyejuwa kazi ya kutangaza attractions za nchi niza Serikali??? Private sector kazi yake ni grasp opportunities baada ya Nchi kujulikana. Sababu kubwa yakuwa na namba ndogo ua utalalii hapa nchini ni kwamba only deals with tradion markets instead of opening other avenues hivyo nchi haijulikani.

2. Heche nae anasema gharama zilizotumika kutengeneza Royal tour wangepewa vijana wakanunue ng'ombe wa maziwa wafuge kuliko kutengeza Royal tour??? Serious? Halafu huyu jamaa ni mwalimu alikuwa anafundisha sekondari anajaribu ku compare kutangaza utalii wa nchi na kuwapa vijana hela wakafuge. Sikatai vijana wetu kukopeshwa ila kama Nchi inaweza ikakopesha vijana wetu hela za Ngo'mbe na Royal Tour pia ikafanyia.

3. Maria mimi simjui ila kulingana na watu wanavyo muongelea sina shaka kwamba ni msomi na ana expousure. Kilichonishangaza ni alivyokuwa yuko impressed na bizzare analysis inayofanywa na viongozi wajuu wa Chadema.

Kumalizia. Lisu na Heche niliokuwa na wajuwa kujenga pale Bungeni siyo nyie. Inawezekana kuwa out of active politics na brains zenu zimekuwa drained au ni frustration na serious Maria comments za watu wazito kama hawa nizakutoa on air ili kulinda heshima ya platform.
Mkuu watu wanataka maisha yapunguzwe makali. Hao akina Lissu na Heche hawapandishi gharama ya maisha. Tusipambane na vivuli.
 
Wewe ndio unataka gharama ya Maisha ipungue, wenzako wanataka Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya.

Kwanza wao siyo masikini.
 
Nina rafiki msomi na yuko Chadema kufa na kupona, amekuwa sana akiniambia kuhusu Club house inayoendeshwa na Maria Sarungi. Leo nikaamuwa nami nisikilize mjadala wa Royal Tour ambapo Mary Sarungi alikuwa akiwahoji Tundu Lisu na John Heche. Kwakweli baada ya kusikiliza mjadala na kusikiliza hoja zao kuhusu kupinga Royal Tour nimewadharau sana Lisu, Heche na Maria Sarungi mwenyewe.

I won't go into details ila nitataja hoja moja moja tu za Lisu na Heche ambazo kwanza nashangaa wanakuwaje viongozi wakubwa hivyo ndani ya chama kikubwa.

1. Lisu anasema SSH kaenda US kutangaza utalii wakati wakiti watalii wakija ni wageni wa private serious?????? Kweli huyu ilikuwa anaomba Urais mtu asiyejuwa kazi ya kutangaza attractions za nchi niza Serikali??? Private sector kazi yake ni grasp opportunities baada ya Nchi kujulikana. Sababu kubwa yakuwa na namba ndogo ua utalalii hapa nchini ni kwamba only deals with tradion markets instead of opening other avenues hivyo nchi haijulikani.

2. Heche nae anasema gharama zilizotumika kutengeneza Royal tour wangepewa vijana wakanunue ng'ombe wa maziwa wafuge kuliko kutengeza Royal tour??? Serious? Halafu huyu jamaa ni mwalimu alikuwa anafundisha sekondari anajaribu ku compare kutangaza utalii wa nchi na kuwapa vijana hela wakafuge. Sikatai vijana wetu kukopeshwa ila kama Nchi inaweza ikakopesha vijana wetu hela za Ngo'mbe na Royal Tour pia ikafanyia.

3. Maria mimi simjui ila kulingana na watu wanavyo muongelea sina shaka kwamba ni msomi na ana expousure. Kilichonishangaza ni alivyokuwa yuko impressed na bizzare analysis inayofanywa na viongozi wajuu wa Chadema.

Kumalizia. Lisu na Heche niliokuwa na wajuwa kujenga pale Bungeni siyo nyie. Inawezekana kuwa out of active politics na brains zenu zimekuwa drained au ni frustration na serious Maria comments za watu wazito kama hawa nizakutoa on air ili kulinda heshima ya platform.
Inawezekana Lissu na Heche wakawa na matatizo lakini nikuulize Nchi gani haijulikani? Wewe ni taahira kabisa.

Tanzania haijulikani? Ndio mlivyodanganywa na Hagaya?

Hii nchi ina mataahira wengi sana.
 
Na itaendelea kuitwa JUHA kwasababu kwanza huna fikra na hoja zako mwenyewe kea uelewa wako.

Leta hapa huo ushahidi kuwa serikali imesema Royal tour ndio suluhisho la kila kitu kwenye Utalii.
Majuha tunajuana. Kama wazungu walivyosema " it takes one juha to know another juha!"
Unanipotezea muda, juha mwenzangu. Ila naomba unifahamishe kuhusu uhusiano wa Premier league na documentary ya CNN na Royal Tour.

Amandla...
 
Majuha tunajuana. Kama wazungu walivyosema " it takes one juha to know another juha!"
Unanipotezea muda, juha mwenzangu.

Amandla...
Wewe Ni JUHA Extra.

Haya leo umepewa Agenda ipi, gharama za royal tour, Wamasai wa Ngorongoro au Masai kuitwa primitive?
 
Matusi sio majibu. Jibu swali. Premier league na Documentary ya CNN inahusiana vipi na Royal Tour? Wewe si ndio uliowataja?

Amandla...
Soma tena hoja yangu ( Kama una uelewa lakini, ingawa najua huna)
 
Nina rafiki msomi na yuko Chadema kufa na kupona, amekuwa sana akiniambia kuhusu Club house inayoendeshwa na Maria Sarungi. Leo nikaamuwa nami nisikilize mjadala wa Royal Tour ambapo Mary Sarungi alikuwa akiwahoji Tundu Lisu na John Heche. Kwakweli baada ya kusikiliza mjadala na kusikiliza hoja zao kuhusu kupinga Royal Tour nimewadharau sana Lisu, Heche na Maria Sarungi mwenyewe.

I won't go into details ila nitataja hoja moja moja tu za Lisu na Heche ambazo kwanza nashangaa wanakuwaje viongozi wakubwa hivyo ndani ya chama kikubwa.

1. Lisu anasema SSH kaenda US kutangaza utalii wakati wakiti watalii wakija ni wageni wa private serious?????? Kweli huyu ilikuwa anaomba Urais mtu asiyejuwa kazi ya kutangaza attractions za nchi niza Serikali??? Private sector kazi yake ni grasp opportunities baada ya Nchi kujulikana. Sababu kubwa yakuwa na namba ndogo ua utalalii hapa nchini ni kwamba only deals with tradion markets instead of opening other avenues hivyo nchi haijulikani.

2. Heche nae anasema gharama zilizotumika kutengeneza Royal tour wangepewa vijana wakanunue ng'ombe wa maziwa wafuge kuliko kutengeza Royal tour??? Serious? Halafu huyu jamaa ni mwalimu alikuwa anafundisha sekondari anajaribu ku compare kutangaza utalii wa nchi na kuwapa vijana hela wakafuge. Sikatai vijana wetu kukopeshwa ila kama Nchi inaweza ikakopesha vijana wetu hela za Ngo'mbe na Royal Tour pia ikafanyia.

3. Maria mimi simjui ila kulingana na watu wanavyo muongelea sina shaka kwamba ni msomi na ana expousure. Kilichonishangaza ni alivyokuwa yuko impressed na bizzare analysis inayofanywa na viongozi wajuu wa Chadema.

Kumalizia. Lisu na Heche niliokuwa na wajuwa kujenga pale Bungeni siyo nyie. Inawezekana kuwa out of active politics na brains zenu zimekuwa drained au ni frustration na serious Maria comments za watu wazito kama hawa nizakutoa on air ili kulinda heshima ya platform.

Tatizo ulitaka kusikiliza unachotaka wewe.

Mbona argument ya Lissu ni nzuri, kwamba kwanini tusiwape Private sector uwezo wa kujitangaza kwenye utalii? Baadala ya Rais kukaa wiki nzima nchi ya ugeni, tungetumia ghrama hizo kuzi empower private sector kwenye utalii hasa kujitangaza.

Hata argument ya heche ni ya muhimu billion Tisa ungeamua kila Mkoa unatoa shindano la innovation kwa vijana mbona Mambo yangekaa viizuri. Tukibali alternative views na sio kuziponda kwa kuangalia umuhimu kwenye application.
 
Mimi wangekuwa tu watu wa vijiweni hapo sawa sasa wasomi na viongozi kama hawa? Halafu kuna kundi la vijana wako nyuma yao?? Serious

Wewe unaona ni akili kutoa billion 9 kwa filamu ya dakika 56 huku vijana hawana ajira au ugumu wa Maisha?. Akina Heche wameongea kwa lugha ya kawaida. Kwamba huwezi kutumia milioni Mia moja likizo Dubai wakati unaishi nyumba ya kupanga.
 
Back
Top Bottom