Nimewashangaa sana Lissu na Heche baada ya kusikiliza mjadala wa Royal Tour kwenye Club House ya Maria Sarungi

Mke mwenzake Meghan wewe! Watu wa aina gani wanaangalia PBS? Kule kila kundi na Channel zake. Watu wa Trump utawakuta Fox, wa Biden utawakuta MSNBC na CNN. PBS inayorusha Royal Tour nayo ina watu wake.

Amandla...
Uzuri documentary tayari ipo
ni suala ipelekwe pia Media zingine
Hata EPL-sports avenue
European and Asian channels nk
 
Nina rafiki msomi na yuko Chadema kufa na kupona, amekuwa sana akiniambia kuhusu Club house inayoendeshwa na Maria Sarungi. Leo nikaamuwa nami nisikilize mjadala wa Royal Tour ambapo Mary Sarungi alikuwa akiwahoji Tundu Lisu na John Heche. Kwakweli baada ya kusikiliza mjadala na kusikiliza hoja zao kuhusu kupinga Royal Tour nimewadharau sana Lisu, Heche na Maria Sarungi mwenyewe.

I won't go into details ila nitataja hoja moja moja tu za Lisu na Heche ambazo kwanza nashangaa wanakuwaje viongozi wakubwa hivyo ndani ya chama kikubwa.

1. Lisu anasema SSH kaenda US kutangaza utalii wakati wakiti watalii wakija ni wageni wa private serious?????? Kweli huyu ilikuwa anaomba Urais mtu asiyejuwa kazi ya kutangaza attractions za nchi niza Serikali??? Private sector kazi yake ni grasp opportunities baada ya Nchi kujulikana. Sababu kubwa yakuwa na namba ndogo ua utalalii hapa nchini ni kwamba only deals with tradion markets instead of opening other avenues hivyo nchi haijulikani.

2. Heche nae anasema gharama zilizotumika kutengeneza Royal tour wangepewa vijana wakanunue ng'ombe wa maziwa wafuge kuliko kutengeza Royal tour??? Serious? Halafu huyu jamaa ni mwalimu alikuwa anafundisha sekondari anajaribu ku compare kutangaza utalii wa nchi na kuwapa vijana hela wakafuge. Sikatai vijana wetu kukopeshwa ila kama Nchi inaweza ikakopesha vijana wetu hela za Ngo'mbe na Royal Tour pia ikafanyia.

3. Maria mimi simjui ila kulingana na watu wanavyo muongelea sina shaka kwamba ni msomi na ana expousure. Kilichonishangaza ni alivyokuwa yuko impressed na bizzare analysis inayofanywa na viongozi wajuu wa Chadema.

Kumalizia. Lisu na Heche niliokuwa na wajuwa kujenga pale Bungeni siyo nyie. Inawezekana kuwa out of active politics na brains zenu zimekuwa drained au ni frustration na serious Maria comments za watu wazito kama hawa nizakutoa on air ili kulinda heshima ya platform.
Kwa mara ya kwanza nawaunga mkono Heche na Lisu wanahoja!
 
Wakati huo ww ndio ndio mjuwi wa Kila kitu eeh!?
 
Nimecheka ulichoandika hapa, walichofanya hao akina Lisu na Heche ni utofauti wa mitazamo. Ni hatari watu wote kuwaza sawa. Una uhakika gani kama huu mtazamo wako ww ndio sahihi?
 
Ndo mana Msigwa kaona awe mkweli na moyo wake kampa Mama hongera zake..

Msigwa pia amekuwa mkweli anataka katiba mpya, je umeona popote akiungwa mkono na ccm? Au ukweli kwako una macho?
 
Ifike wakati wanasiasa na Vyama vya siasa viweke wazi kila kitu ili wale wanaowaunga mkono wajue.

Kwanza waweke wazi masuala muhimu kabisa, siyo kubweka bweka mitandaoni Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi bila kusema chochote Cha Msingi.

Vyama vya siasa viweke wazi misimamo yao kuhusu:

  • Mahakama ya kadhi.
  • Muundo wa Muungano
  • Mfumo wa Uchumi ( Ujamaa, Ubepari, soko huri, mixed economy etc )
  • Falsafa za Nyerere
  • Maslahi ya Wanasiasa
  • Ruzuku za vyama vya siasa
  • Haki za binadamu hasa masuala ya homosexuality, abortion, transgender.

Siyo kubweka bweka tu, ukitegemea utapigiwa kura kwasababu tu watu hawaipendi CCM.

Watu wajue Ni Nini unacho amini wewe ambacho Ni tofauti na CCM
 
Niliwahi kuwa Meneja wa moja ya mahoteli ya kitalii kule Ngorongoro.Waziri mmoja wa Utalii wa nyakati hizo(awamu ya pili) akawa mgeni wetu(alikuja kikazi Ngorongoro Conservation Area akapangiwa kulala hapo hotelini),mara tu baada ya kupata uteuzi.Akaniuliza swali;hivi watalii mnawapata kutoka wapi?Nilishangaa sana maana sikutegemea swali kama hilo kutoka kwa Waziri anayesimamia mambo ya Utalii!
Wakati huu wa filamu ya Royal Tour,ndio nimeamini kuwa mheshimiwa yule hakosa lake,Watanzania wengi hawajui kabisa utalii na mambo yanayohitajika ili nchi iweze kufanikiwa kuiendesha biashara hii.Ni jambo jipya sana kwao,ni jipya pia kwa waheshimiwa Lisu na Heche,wasamehewe bure!
 
Ifike wakati wanasiasa na Vyama vya siasa viweke wazi kila kitu ili wale wanaowaunga mkono wajue.

Kwanza waweke wazi masuala muhimu kabisa, siyo kubweka bweka mitandaoni Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi bila kusema chochote Cha Msingi.

Vyama vya siasa viweke wazi misimamo yao kuhusu:

  • Mahakama ya kadhi.
  • Muundo wa Muungano
  • Mfumo wa Uchumi ( Ujamaa, Ubepari, soko huri, mixed economy etc )
  • Falsafa za Nyerere
  • Maslahi ya Wanasiasa
  • Ruzuku za vyama vya siasa
  • Haki za binadamu hasa masuala ya homosexuality, abortion, transgender.

Siyo kubweka bweka tu, ukitegemea utapigiwa kura kwasababu tu watu hawaipendi CCM.

Watu wajue Ni Nini unacho amini wewe ambacho Ni tofauti na CCM

Wapiga kura wengi hawapigi kura kwa kuangalia vitu hivyo ulivyotaja. Hayo uliyotaja huangaliwa na wasomi. Wapiga kura weng hupiga kura kwa hamasa za jukwaani + haiba ya chama + mgombea, rushwa, vitisho, mazoea nk. Hayo uliyoainisha huchambuliwa kwenye midahalo, platform za wasomi nk.
 
Nina rafiki msomi na yuko Chadema kufa na kupona, amekuwa sana akiniambia kuhusu Club house inayoendeshwa na Maria Sarungi. Leo nikaamuwa nami nisikilize mjadala wa Royal Tour ambapo Mary Sarungi alikuwa akiwahoji Tundu Lisu na John Heche. Kwakweli baada ya kusikiliza mjadala na kusikiliza hoja zao kuhusu kupinga Royal Tour nimewadharau sana Lisu, Heche na Maria Sarungi mwenyewe.

I won't go into details ila nitataja hoja moja moja tu za Lisu na Heche ambazo kwanza nashangaa wanakuwaje viongozi wakubwa hivyo ndani ya chama kikubwa.

1. Lisu anasema SSH kaenda US kutangaza utalii wakati wakiti watalii wakija ni wageni wa private serious?????? Kweli huyu ilikuwa anaomba Urais mtu asiyejuwa kazi ya kutangaza attractions za nchi niza Serikali??? Private sector kazi yake ni grasp opportunities baada ya Nchi kujulikana. Sababu kubwa yakuwa na namba ndogo ua utalalii hapa nchini ni kwamba only deals with tradion markets instead of opening other avenues hivyo nchi haijulikani.

2. Heche nae anasema gharama zilizotumika kutengeneza Royal tour wangepewa vijana wakanunue ng'ombe wa maziwa wafuge kuliko kutengeza Royal tour??? Serious? Halafu huyu jamaa ni mwalimu alikuwa anafundisha sekondari anajaribu ku compare kutangaza utalii wa nchi na kuwapa vijana hela wakafuge. Sikatai vijana wetu kukopeshwa ila kama Nchi inaweza ikakopesha vijana wetu hela za Ngo'mbe na Royal Tour pia ikafanyia.

3. Maria mimi simjui ila kulingana na watu wanavyo muongelea sina shaka kwamba ni msomi na ana expousure. Kilichonishangaza ni alivyokuwa yuko impressed na bizzare analysis inayofanywa na viongozi wajuu wa Chadema.

Kumalizia. Lisu na Heche niliokuwa na wajuwa kujenga pale Bungeni siyo nyie. Inawezekana kuwa out of active politics na brains zenu zimekuwa drained au ni frustration na serious Maria comments za watu wazito kama hawa nizakutoa on air ili kulinda heshima ya platform.
Hata wewe pia ni mbumbumbu wa masuala ya utalii. Kwanza sio kweli kwamba nchi ilifungwa harakati za JPM ziliitangaza sana Tanzania duniani. Kutangaza utalii sio suala la mara moja promotion ya utalii inatakiwa ifanyike kila season suala muhimu ni kujua unawatangazia nani? Lazima ujue soko lako lipo wapi na watu wapya kwenye soko emerging markets. Kwa sasa duniani emerging markets kwenye utalii ni Israel, Brazil, India, na Russia including Ukraine. Nchi nyingi duniani zinatangaza utalii kupitia celebrities wana mvuto hakuna hata nchi moja duniani iliyomtumia rais wake kutangaza ni Tanzania tu ya vihoja. Kenya jirani zetu walimtumia Naomi Campbell japokuwa bunge lao lilipinga sana kwa nini hawakumtumia celebrity wao Lupita Nyo'ngo sijui hata kama unamfahamu. Kutangaza na kupata ni vitu viwili tofauti kitu cha muhimu rais ahakikishe kampuni zote za utalii na mahoteli yanalipa kodi watalii wanakuja fedha zinalipwa lakini zote zinatiwa ndani kodi hazilipwi. Kingine ambacho ni muhimu sana tumeanza kuona yale madege makubwa yanayoweza kupakia hata tembo ishirini yameanza kuja na kutua kutoka Arabuni sasa huko hakuna udhibiti wanyama wazima, pembe, ngozi n.k zinapakiwa na kuondokea huko huko polini hakuna Immigration wala Customs hawahitaji hata rada wala traffic controller huko ndio pa kutoa ushauri sio kujipendekeza kwa kusifia uongo.
 
Hata wewe pia ni mbumbumbu wa masuala ya utalii. Kwanza sio kweli kwamba nchi ilifungwa harakati za JPM ziliitangaza sana Tanzania duniani. Kutangaza utalii sio suala la mara moja promotion ya utalii inatakiwa ifanyike kila season suala muhimu ni kujua unawatangazia nani? Lazima ujue soko lako lipo wapi na watu wapya kwenye soko emerging markets. Kwa sasa duniani emerging markets kwenye utalii ni Israel, Brazil, India, na Russia including Ukraine. Nchi nyingi duniani zinatangaza utalii kupitia celebrities wana mvuto hakuna hata nchi moja duniani iliyomtumia rais wake kutangaza ni Tanzania tu ya vihoja. Kenya jirani zetu walimtumia Naomi Campbell japokuwa bunge lao lilipinga sana kwa nini hawakumtumia celebrity wao Lupita Nyo'ngo sijui hata kama unamfahamu. Kutangaza na kupata ni vitu viwili tofauti kitu cha muhimu rais ahakikishe kampuni zote za utalii na mahoteli yanalipa kodi watalii wanakuja fedha zinalipwa lakini zote zinatiwa ndani kodi hazilipwi. Kingine ambacho ni muhimu sana tumeanza kuona yale madege makubwa yanayoweza kupakia hata tembo ishirini yameanza kuja na kutua kutoka Arabuni sasa huko hakuna udhibiti wanyama wazima, pembe, ngozi n.k zinapakiwa na kuondokea huko huko polini hakuna Immigration wala Customs hawahitaji hata rada wala traffic controller huko ndio pa kutoa ushauri sio kujipendekeza kwa kusifi
Mimi najuwa utalii na ninaishi utalii wewe unaongea bila data ni wale wale tu kina Heche.

1. Wakati wa JPM utalii haukutangazwa kabisa kwanza taasisi zote hazikuwa na hela na pili alipiga marufuku kusafiri nchi ya nchi mpaka upate kibali kutoka ikulu. Kila mtu alikuwa anatetea kitumbua chake hivyo walikuwa wanaogopa kuomba vibali. Kama una ndugu TTB, TANAPA, NCAA, TAWA waulize.

2. Kuhusu Royal Tour imeshafanywa nchi nyingi kama Israel, Peru, Rwanda, Jordan, Jamaica, New Zeland, Ecuador etc. Hapa sioni shida Rais kuwa main character issue ni impact ndiyo tunatakiwa kuja kuhoji kama walivyosema baada ya miezi mitano. I would give them three years.

3. Kuhusu story za ndege kubwa kutoka Uarabuni kwenda porini moja kwa moja kwa zile conservancy za Sheikh wa UAE na Saudi Arabia hizi ni habari za kwenye vijiwe vya kahawa. Its true kule hakuna immigration wala customs na tasisi nyingi tu TISS etc. Ila ukweli ni kwamba hawa Wafalme na wageni wao wanakuja na ndege zao kubwa zenye charter ndani kutokea Uarabuni mpaka KIA na pale wanafanya clearance zote then wanachukua charter zao kwenda Loliondo wakiwa wamepaki yale mandege makubwa KIA mpaka watakaporudi. Ndugu hakuna nchi inaweza endeshwa hivyo duniani kwamba ndege zitoke nje straight to Serengeti na kuondoka??? Hawa kina Tundu Lisu watawaua kwa pressure mana wanawapa dozi kubwa sana za matango pori na nyie kila kitu mna waamini.
 
Mkuu ukistaajabu ya Lema na Lissu basi hakika unakuwa hujayaona ya Samia kulingalisha bei ya mafuta marekani na Tanzania...

Kazi iendelee...
 
Nina rafiki msomi na yuko Chadema kufa na kupona, amekuwa sana akiniambia kuhusu Club house inayoendeshwa na Maria Sarungi. Leo nikaamuwa nami nisikilize mjadala wa Royal Tour ambapo Mary Sarungi alikuwa akiwahoji Tundu Lisu na John Heche. Kwakweli baada ya kusikiliza mjadala na kusikiliza hoja zao kuhusu kupinga Royal Tour nimewadharau sana Lisu, Heche na Maria Sarungi mwenyewe.

I won't go into details ila nitataja hoja moja moja tu za Lisu na Heche ambazo kwanza nashangaa wanakuwaje viongozi wakubwa hivyo ndani ya chama kikubwa.

1. Lisu anasema SSH kaenda US kutangaza utalii wakati wakiti watalii wakija ni wageni wa private serious?????? Kweli huyu ilikuwa anaomba Urais mtu asiyejuwa kazi ya kutangaza attractions za nchi niza Serikali??? Private sector kazi yake ni grasp opportunities baada ya Nchi kujulikana. Sababu kubwa yakuwa na namba ndogo ua utalalii hapa nchini ni kwamba only deals with tradion markets instead of opening other avenues hivyo nchi haijulikani.

2. Heche nae anasema gharama zilizotumika kutengeneza Royal tour wangepewa vijana wakanunue ng'ombe wa maziwa wafuge kuliko kutengeza Royal tour??? Serious? Halafu huyu jamaa ni mwalimu alikuwa anafundisha sekondari anajaribu ku compare kutangaza utalii wa nchi na kuwapa vijana hela wakafuge. Sikatai vijana wetu kukopeshwa ila kama Nchi inaweza ikakopesha vijana wetu hela za Ngo'mbe na Royal Tour pia ikafanyia.

3. Maria mimi simjui ila kulingana na watu wanavyo muongelea sina shaka kwamba ni msomi na ana expousure. Kilichonishangaza ni alivyokuwa yuko impressed na bizzare analysis inayofanywa na viongozi wajuu wa Chadema.

Kumalizia. Lisu na Heche niliokuwa na wajuwa kujenga pale Bungeni siyo nyie. Inawezekana kuwa out of active politics na brains zenu zimekuwa drained au ni frustration na serious Maria comments za watu wazito kama hawa nizakutoa on air ili kulinda heshima ya platform.
Hayo ni maoni yako kuhusu maoni yao. Tungejua na maoni yako tuone pia.

Kuhusu RT kila mtu ana opinion yake. RT siyo the only best way to advertise the country. Hakuna statistics zinaonyesha mafanikio makubwa ya hizo movie. Watu wanao criticize nao wana points.

Heche anachoongea ni kuwekeza kwenye primary production. Anaamini kutaongeza ajira na pato kwa vijana. Nothing wrong with that..!!

Kama RT Inategemea mafanikio mbona hakuna hata projection tunayopewa zaidi ya kuambiwa ina faida. We need figures/data siyo maneno.
 
Mkuu ukistaajabu ya Lema na Lissu basi hakika unakuwa hujayaona ya Samia kulingalisha bei ya mafuta marekani na Tanzania...

Kazi iendelee...

Ukiongelea swala la mafuta tenga EAC, North africa, Europe, USA, Middle East, Asia. South Africa na north Africa tuwaache. Then tuje tuongelee sources za mafuta, subsidies, na Tozo. Sijui uwezo wako waku anaylse ukoje kujadili mabara yote hayo na hivyo vigezo nilivyoweka. Mfano tu UK na German wao wame maitain bei ya mafuta kuanzia leo kwa kuweka subsidy kwenye importation ya mfauta yao kuoka Ukraine/Russia. Nakushauri fungua uzi wa kupanda kwa mafuta ndani ya EAC then utapata elimu kubwa zaidi na siyo kijana mzima kupanda kwa mafuta moja kwa moja unaenda kumlaumu Rais. Toa mawazo chanya nini kifanyike. TZ kuna tozo 13 kwenye mafuta, unatakiwa kuzijuwa na utose ushauri wa kuzi review at this juncture. Mfano moja ya Tozo ya mafuta inaenda ,REA ndio mana Babu yako kule kijijini kavuta umeme kwa shs 27,000!!! Sasa inatakiwa na hizo nyingine zijulikane tuweke vipau mbele
 
Hayo ni maoni yako kuhusu maoni yao. Tungejua na maoni yako tuone pia.

Kuhusu RT kila mtu ana opinion yake. RT siyo the only best way to advertise the country. Hakuna statistics zinaonyesha mafanikio makubwa ya hizo movie. Watu wanao criticize nao wana points.

Heche anachoongea ni kuwekeza kwenye primary production. Anaamini kutaongeza ajira na pato kwa vijana. Nothing wrong with that..!!

Kama RT Inategemea mafanikio mbona hakuna hata projection tunayopewa zaidi ya kuambiwa ina faida. We need figures/data siyo maneno.

Advertisement ni advertisement and you must keep doing in different modalities, fanyeni tafiti mtueleze hayo mafanikio madogo ya RT ni yapi ili tuwe na criteria zaku critisize RT. Ujinga wa Heche ni hii comparison aliyofanya unless he was joking and I keep hammering on him. Natakaka sana vijana tuwa wekee sera za kuwasaidia kwenye sekta nyingi na siyo mafugo peke yake. Kwa heshima ya Club House na alicho ongea Heche ni shame. Aiponde RT kwa DATA ambazo hana asubiri baada ya hiyo miezi mitano
 
Back
Top Bottom