KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Uzuri documentary tayari ipoMke mwenzake Meghan wewe! Watu wa aina gani wanaangalia PBS? Kule kila kundi na Channel zake. Watu wa Trump utawakuta Fox, wa Biden utawakuta MSNBC na CNN. PBS inayorusha Royal Tour nayo ina watu wake.
Amandla...
ni suala ipelekwe pia Media zingine
Hata EPL-sports avenue
European and Asian channels nk