Nimewasikiliza wabunge wa CHADEMA waliohojiwa na PCCB, yawezekana Lijualikali ni mwongo wa "Kutupwa"

Ujenzi wa chama una maana pana.

Polepole anaweza kunielewa zaidi!
 
Milion 50 za kila kijiji zilizoahidiwa na maccm zilitolewa kwa hayo matumizi?
Ndege je, manunuzi yake hayakutokana na mabadiliko ya matumizi ya fedha?
Nyie watu hivi akili zenu zipo sawa kweli?.. inawezekana mna kasoro kwenye ubongo!!
Ahadi inaweza kupatikana au isipatikane! Je, hiyo michango ilikuwa hewa?
 
Hii ni kama Richmond na Mbowe ni yule naniliu ....siyo Lowassa.

Huwezi kumfikia kwa mkono wa sheria!
Lakini Richmond wakati inatengenezwa Pccb haikua kama hii ya leo. Na hii fixed account mpaka zinanyofolewa Mbowe na Joyce Mukya hawakujua!
Antony Komu na Mashinji ni key witnesses,Mbowe anahusika. Ishu ya Richmond ni ya kimanunuzi zaidi,tofauti na kuhamisha mzigo toka fixed account.
 

Wabunge wote waliohojiwa hawajajibu hoja ya matumizi mabaya ya fedha za chama.

Tatizo siyo makato, tatizo ni matumizi.
 
Hii ya reallocation mbona ya kawaida kabisa.

Huyu Lijualikali akijua siri za CCM anaweza kuwauzia hata mabeberu!
 

Sidhani hayo mawazo yako na jinsi ulivyowasikia utegemee watasema waliyohojiwa na mwaswali waliyojibu wakwambie,
Swala la msingi ninkwamna pesa zinatoka kwa kutumia kanuni au sio hivyo?
Wenye majibu ya maana ni watu wa kamatibya pesa,
Hawa waunge wao maelezo yao ni kwamba walichanga au hawakuchanga basi, je wanjua chochote kuhusu hizo pesa sana ndo maswali kwao.
 
Wabunge wote waliohojiwa hawajajibu hoja ya matumizi mabaya ya fedha za chama.

Tatizo siyo makato, tatizo ni matumizi.
Watajuaje matumizi ya pesa? Matumizi anayajua Katibu mkuu na mhasibu mkuu. Wao wana changa tuu.. Naona kama TAKUKURU ina wasumbua hawa wabunge na kuwapotezea muda.. Kama CAG hakuona matumizi mabaya ya hizo Pesa TAKUKURU wana kwenda kuziona kwa kuhoji watu au kufanya ukaguzi? Je TAKUKURU itakwenda kurekebisha katiba ya CHADEMA?
 
Wabunge wote waliohojiwa hawajajibu hoja ya matumizi mabaya ya fedha za chama.

Tatizo siyo makato, tatizo ni matumizi.
Matumizi hayana tatizo lolote kwa mujibu wa CAG!

Takukuru wanachunguza kama wabunge walikatwa fedha isivyo halali......hilo la matumizi ya fedha wabobezi wako ofisi ya CPA Charles Kichere!
 
Wabunge wa Chadema ni wajumbe wa kamati kuu hivyo kama kuna matumizi mabaya ni wao waliruhusu.

Lakini CAG alishatoa hati safi......hakuna kesi hapo!
 
Matumizi hayana tatizo lolote kwa mujibu wa CAG!

Takukuru wanachunguza kama wabunge walikatwa fedha isivyo halali......hilo la matumizi ya fedha wabobezi wako ofisi ya CPA Charles Kichere!
Hapana kuna tuhuma ni nyingi. Moja ni mwenyekiti kulazimisha kulipwa deni hewa zaidi ya bil 6 kwa miaka mitano.
Pili kuna fedha ambazo wabunge walikatwa kwa ajili ya uchaguzi.Na ziliwekwa kwenye fixed. Uchaguzi umekaribia hazijulikani zimepotea vipi.
 
Nadhani Lijuakili ana tatizo la akili kwa kiwango fulani. Huwezi kumtuhumu mtu kujikopesha fedha wakati yeye siyo mhasibu, na siye anayeidhinisha matumizi yake.

Angekuwa na akili, japo kidogo sana, angemtuhumu Katibu Mkuu, Mhasibu na Kamati Kuu.

Lijuakali is a low brain with no wisdom.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi thread hii ni ya John Mbatizaji kweli? Mimi siamini imekuwaje ameuona ukweli huo?
Yohana Mbatizaji wakati tunasoma nayealikuwaga genius sasa sijui ukirudi ccm utopolo akili unaacha wapi hata sijui! Sijui unakakabidhi ka Polepole wewe unabaki kutembea na kopo tupu?
 
Pentekoste njema kwako pia.
PCCB imekuwa tawi la UVCCM na kufuata maelekezo ya MUSIBA na LIJULIKALI, imepoteza credibility
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…