Nimewasikiliza wabunge wa CHADEMA waliohojiwa na PCCB, yawezekana Lijualikali ni mwongo wa "Kutupwa"

Mabadiliko ya fedha ndicho lijuakali alikuwa analamikia msihamishe magoli

Hujaeleweka...!!

Umesema, "....madadiliko ya fedha ndicho Juakali alikuwa analalamikia.....!!??"

Una maana gani hapa? Una maana ya mabadiliko ya fedha kirangi toka nyekundu na kuwa bluu, au?

I don't get you....
 
Kakaeni tena kikao mujipange tena na kupeleka mapya kabla TAKUKURU hawajamalizana na CHADEMA.
Tunawasubiri TAKUKURU huku kwenye matumizi ya makubwa sana kwa matibabu India kwa miezi mitano.
Kabla ya kwenda kwenye ujenzi wa Chattle International Airport na Ununuzi wa midege.
 
Wakati anachukuw bila utaratibu huyo kipara Lijualikali alikuwa wapi?

Au aliona vinaelea akajua havijaundwa?!

Wewe utoke tu huko kwenye mashamba ya miwa uje utumie brand iliyojengwa na wenzio!
 
Swala LA pesa za chadema kuhojiwa na takukuru liko kisiasa mno. Shida kubwa walioibua tuhuma sio wanachadema kwa sasa.Haiwezekani tuhuma ndani ya ccm zitolewe na chadema kisha takukuru wafanyie kazi.
Mwisho wa yote shubiri hizi watakula wao.
 
1. Aibu kwa TAKUKURU kufanya majukumu sio yao
2. Aibu kwa Lijualikali na CCM iliyokuwa nyuma yake.
 
CCM badala ya kuinyofoa nchi kwenye lindi la umaskini wao kutwa kucha wanahangaika na Mh.Mbowe...

Yaani wanaviponza hadi vyombo vya dola kutoa riport zisizokidhi uweredi wa kiusalama.
 
Wakati anachukuw bila utaratibu huyo kipara Lijualikali alikuwa wapi?

Au aliona vinaelea akajua havijaundwa?!

Wewe utoke tu huko kwenye mashamba ya miwa uje utumie brand iliyojengwa na wenzio!
Kwa hiyo sababu walianzisha Chadema ndio wanawakamua wabunge? Mh... Hii ni mali binafsi sasa.
Acha Takukuru wawashughulikie
 
Hujaeleweka...!!

Umesema, "....madadiliko ya fedha ndicho Juakali alikuwa analalamikia.....!!??"

Una maana gani hapa? Una maana ya mabadiliko ya fedha kirangi toka nyekundu na kuwa bluu, au?

I don't get you....
One of these days you’ll get me
 
Kwani anayeidhinisha matumizi ya pesa ni nani pale CDM? Ina maana mweyekiti ndiye kila kitu, kwamba anachoamua yeye basi hakuna mjadala? Kama ni hivyo basi itakuwa kampuni ya mtu binafsi siyo chama cha siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…