Nimewatengenezea SOLDRAX: App ya kucheza na marafiki michezo ya Karata (Arubastini & LastCard) pamoja na Draft style zilizo maarufu Tanzania

Ahaa! Saawia kabisa! Ifanye iwe average isichoshe saana kusubiri na isiwe fupi saana tu enjoy kuchat in game atleast 1min
 
Jion baada ya kazi Game linaendelea.

rs19g4 - Arubastini


 
Kwanza ongera sana pili nitaijalibu kuitumia hii app tuvipende vya kwetu
 
Mkuu kali linux kwanza nikupe hongera sana kutengeneza hii app. Leo nimeitumia kwa mara ya 1 lakini nimeinjoi sana kucheza last card. Kilichonichelewesha kucheza ilikuwa ni kupata user wa kucheza nae, leo nikamwomba jamaa yangu ainstall game ili tucheze, nae amelifurahia sana.

Mapendekezo:
Ukiweza uizuie ile auto screen rotation inayofanyika, mara inakuwa landscape mara inakuwa portrait

Kwenye karata za mtu za kucheza, uweke uwezo wa mtu kuzi-arrange ili zikae kama tunavyofanyaga mikonono, labda kuzipanga zinazofanana namba nk

Uongeze na score board ili tuwajue wakali, walioshinda mara nyingi nk

Kwenye lugha zile, ungeweka FULK kiswahili ingekuwa poa sana, mfano, umepigwa STOP, kubali au jibu mapigo. Mwenzako amelia LAST CARD, na ile option ya kuomba kisu, mavi ya mbuzi nk kupitia J..nayo iongezwe

Ahsante sana
 
Asante sana mkuu. Maoni yako hasa kuhusu screen rotation na kupanga card nitayafanyia kazi.

Kuhusu score board ipo, ukibonyeza ile 'More' button pale home utaletewa page ambapo ukuscroll kdg chini utawaona wanaoongoza.

Stay close kuna major updates zinakuja hivi karibuni
 
Thanks mkuu. Kongole sana
 
New and Updated Soldrax is here

Pakua app yetu ilioboreshwa ili kuenjoy board games za kitanzania

Tumeongeza features kedekede ikiwemo uwezo wa kuwa na list ya marafiki, kutuma maombi ya urafiki, kuchat, notifications, na gameplay ilioboreshwa zaidi.

Download SolDrax App here Soldrax - Apps on Google Play
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…