kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
- Thread starter
- #41
Asante mkuuHongera mkuu. Tunasubiri IOS version tuenjoy vitu vya kikwetu kwetu kiteknolojia.
iOS nakuja muda si mrefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuuHongera mkuu. Tunasubiri IOS version tuenjoy vitu vya kikwetu kwetu kiteknolojia.
HahahaaaaOhoooo! Hapo kwenye ads hapo[emoji55] labda ziwe za kuangalia kwa ihari maana hua zina kera sijawahi ona! Yeye auze token tu hiyo mi ads itaua game
Ahaa! Saawia kabisa! Ifanye iwe average isichoshe saana kusubiri na isiwe fupi saana tu enjoy kuchat in game atleast 1minUkiweka muda mchache sana kumbuka kuna mwenye slow internet connection. Ila nitadeal nayo kubalance mambo ili user experience iwe nzuri
Na kiukweli time inaanza kucount kwenye server pale tu opponent akiswitch lkn kwenye app utaona delay fln sababu ya data transfer
P1Thanks chief for the feedback.
Nitaiboresha zaidi kutokana na maoni yenu
Sponsor[emoji857][emoji383] hahaha! Lazima wataitolea macho! Bora uwauzie telegram channel ila sio kuchafua hii cake ya taifa[emoji1787]Hahahaaaa
Kwenye app unaenda kwenye kitufe " more " pale utapata walio online mda huo pia hapohapo utaona nembo ya Telegram ukiingia humo utakuta kila kitu kipo live na watu ni wengi wa kucheza naoKupata opponents ndio kaz kwa hii app?
Kwanza ongera sana pili nitaijalibu kuitumia hii app tuvipende vya kwetuHello bosses and roses,
Kwa muda mrefu nmekua nafikiria namna ya kutumia tech kukuza na kuendeleza mwenendo wa maisha uliozoeleka hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla sababu Systems na Apps nyingi tunazotumia zimetengenezwa kufuata mazingira na utamaduni wa nchi za Ulaya, Amerika na Asia. Mfano mdogo ni hizi board games kama karata na draft, sana sana karata ni ngumu sana kupata apps unazoweza kucheza mchezo kama arubastini.
Miaka kadhaa ilopita nilitengeneza game la karata kwa hii michezo ya arubastini na Lastcard lkn kutokana na u-busy wa kazi ikawa ngumu kumaintain hio project.
Leo hii nawaletea App ya Soldrax ambayo utaweza kucheza na kushindana na marafiki zako katika michezo ya ARUBASTINI, LASTCARD, BRAZILIAN & SPANISH CHECKERS (aina hizi ndizo tunazocheza sana Hapa Tanzania)
Vile vile nitakua naorganize leagues kila baada ya muda fln ambapo washindi watazawadiwa pesa tasilimu na zawadi nyingine.
App inapatikana Google Playstore kwa jina la Soldrax, au bonyeza link hii Download Soldrax from Google Playstore kuipata moja kwa moja.
Kitu nilicholenga hapa ni watu kucheza dhidi ya watu, hivyo functionality ya mtu kucheza na BOT haipo kwa sasa (I hate&love AI).
Kwa sasa mtu anaweza kuhost match ya mchezo anaotaka kisha akatuma match ID kwa mwenzake na wakajoin na kuanza match. Au mchezaji mmoja anaweza kumualika mwingine moja kwa moja kwenye profile ya mhusika.
Vile vile app inakuruhusu kuangalia users waliopo online au waliokuwepo online muda mfupi ulopita kisha unaweza kuwa-alika (invite) kwenye mchezo wako.
Kama kawaida maoni yenu yanakaribishwa, kwenye app kuna link za Telegram, Instagram na Whatsapp so unaweza kunifikia moja kwa moja na kutoa recommendation, ushauri, critics, malalamiko etc...
Hapa chini ni baadhi ya screenshots.
View attachment 2561847View attachment 2561848
View attachment 2561843View attachment 2561844View attachment 2561845View attachment 2561846
Pia kuna group la telegram Soldrax Telegram Group na kuna channel SOLDRAX Channel humo utaweza kukutana na players wengine ukawa unaweza kuwaalika kwenye mechi zako au kushare Match ID kwenye group na wengine wakajoin.
Hii ni moja kati ya projects tano nlizopanga kufanya maalum kwa ajili ya culture ya Afrika mashariki na kati hasahasa Tanzania, napenda kutumia JF kudeliver mambo kama haya sababu JF imenipa karibu asilimia 40 ya wateja biinafsi nlofanya nao kazi, na pia kuna followers wangu huwa wananifuatilia kwenye mabandiko yangu ya tech na kuja PM lakini wanajiuliza kazi zangu ziko wapi? Kiufupi nadeal na internal systems ambazo ni mara chache kuwa exposed publicly lkn kwenye Apps kama hizi dipo naweza onyesha ujuzi wangu kwenye vitendo.
Karibuni....
kali linux
Asante sana mkuu. Maoni yako hasa kuhusu screen rotation na kupanga card nitayafanyia kazi.Mkuu kali linux kwanza nikupe hongera sana kutengeneza hii app. Leo nimeitumia kwa mara ya 1 lakini nimeinjoi sana kucheza last card. Kilichonichelewesha kucheza ilikuwa ni kupata user wa kucheza nae, leo nikamwomba jamaa yangu ainstall game ili tucheze, nae amelifurahia sana.
Mapendekezo:
Ukiweza uizuie ile auto screen rotation inayofanyika, mara inakuwa landscape mara inakuwa portrait
Kwenye karata za mtu za kucheza, uweke uwezo wa mtu kuzi-arrange ili zikae kama tunavyofanyaga mikonono, labda kuzipanga zinazofanana namba nk
Uongeze na score board ili tuwajue wakali, walioshinda mara nyingi nk
Kwenye lugha zile, ungeweka FULK kiswahili ingekuwa poa sana, mfano, umepigwa STOP, kubali au jibu mapigo. Mwenzako amelia LAST CARD, na ile option ya kuomba kisu, mavi ya mbuzi nk kupitia J..nayo iongezwe
Ahsante sana
Thanks mkuu. Kongole sanaAsante sana mkuu. Maoni yako hasa kuhusu screen rotation na kupanga card nitayafanyia kazi.
Kuhusu score board ipo, ukibonyeza ile 'More' button pale home utaletewa page ambapo ukuscroll kdg chini utawaona wanaoongoza.
Stay close kuna major updates zinakuja hivi karibuni