Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Wakuu mi nakataa kusema umasikini nilio nao umesababishwa na mindset yangu.
Naona Tu ni poor government imesababisha
Mfano:
Nimesoma hadi chuo ajira serikalini hamna, zikitoka chache za kujuana (poor government)
Nimefungua biashara, biashara ngumu bado TRA wananikadiria kadirio la juu Tax, Leseni, Taka, mlinzi, mara mwenye pango Nachorudi nacho home ni 10% Wanaotoa rushwa wanakadiriwa kidogo (poor government)
Niliajiriwa na kampuni binafsi mshahara ulikua mdogo tu nimekatwa nssf 3years sasa sina kazi nataka hela yangu Hawatak kunipa!! Hata ufanyaje hupewi hata kama unataka kwenda kusoma. Plus ndo nilitaka nipatemo kamtaji (poor government).
Ebu niambie namna gan umasikini hausababishwi na poor goverment wakat nategemea mazingira wezeshi