Nimewaza ni namna gani Mindset yangu imenisababishia umasikini sioni kabisa! Majibu ya umasikini yanaangukia poor Government

Bro nakuelewa sana ila kama anayosema mange yana ukweli tunapaswa kutawaliwa milele aisee
 
Pole sana, ila endelea kupambana na kuwaza zaidi unaweza ukawa mfugaji ukapasua hicho cheti
Kuna watu wanaanza na Belo moja la mtumba na baada ya miaka 5 anashusha container 10 zake
Ni bahati au kapata channel nzuri?
Huwezi kuwa unawaza hayo makodi ila kuna kazi zinadharauliwa hata na TRA lakini zinaingiza hela nzuri tu
 
Ni poor government au governance?
 
subiri mkopo uliofatwa na wasanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…