Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #41
Daaah, hao jamaa wapo njema sana mkuu...Kuna sehemu niliwahi fanya kazi nikakuta gari zao ili ziwake lazima ubadge kwanza kisha ndiyo uweke funguo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah, hao jamaa wapo njema sana mkuu...Kuna sehemu niliwahi fanya kazi nikakuta gari zao ili ziwake lazima ubadge kwanza kisha ndiyo uweke funguo...
Pole mkuu ni nani aliekuharibia huo mfumo hadi hali hiyo ikupate kila upigapo chafya? Na alaaniwe kiumbe huyo.inawezekana sanaaa, zipo baadhi ya hotel/nyumba ili kuingia lazima uweke/upachike kadi ndipo mlango ufunguke....ukishaingia unapachika kadi sehemu husika, ndipo taaa zinawakaa.
ni nawazaga kwa nini wakati mwingine kupiga chafya na kutoa hewa ya ukaa hutokea kwa pamoja, je waeza zuia kimojawapo?
Sawa mkuu...Inawezekana kabisa
100%inawezekana.japo wenzetu sasa hivi wana gari zisizo na dereva kabisa.unaiambia unapokwenda inakupeleka. zipo ambazo zina sensor ya pombe,ikisensi pombe aiwaki kabisa.zipo push to start...kama funguo yake aipo ndani ya gari(mfano mfukonimwa suruali ya dereva aitowaka)Ili kuwezesha hilo Leseni za udereva zinakuwa na RFID kama vile vitambulisho vya NIDA na pia kuna kuwa na finger print ambayo itasoma kidole cha dereva(baada ya kuingizwa kabla kwenye data base).Haya ni mawazo yako binafsi na siwezi kukupinga. Ngoja tusikilize na wadau wengine wa hapa JF watasemaje. Thanks...
Hahahahahaaaaaaa ni shiiiiida mkuu kwa huyo jamaa. Pole yake tena.Pole mkuu ni nani aliekuharibia huo mfumo hadi hali hiyo ikupate kila upigapo chafya? Na alaaniwe kiumbe huyo.
Sawa mkuu...100%inawezekana.
Wewe endelea kuchukia serikali ila mimi nitaendelea kuipenda serikali pamoja na nchi yangu. Sio lazima wote tuwe na tabia zinazofanana.People usually hate governments...
Governments dont have money of their own,wananchi ndio wana hela..
Tengeneza solution kusaidia wananchi na sio governments..
Wacha kuzisaidia governments to do their job ....
Saidia wananchi....
Wacha serikali zitoke jasho kusimamia wananchi,wananchi need freedom,government is always working hard to take those freedoms,let the government work on its own...
Saidia wananchi,they will pay you,governments do not pay anybody anything
Kwa jinsi sipendi governments,ningejenga solution kusaidia wananchi wawe free zaidi na magari yao,leseni ni kazi ya serikali na iteseke kufanya yenyewe.
Wewe ukitoahii solution mimi nitatoa ya ku-bypass your solution hawa wanadamu wenzangu wawe free kuishi maisha yao bila kufatwa fatwa matakoni
Kusaidia mwananchi ndio uzalendo hasa
Mawazo mabovu sana ya kusaidia government ku-take freedoms of our beloved people away!Mawazo mazuri sana
Inakusaidia nini?Endelea kuchukia serikali ila mimi nitaendelea kuipenda serikali pamoja na nchi yangu.
Sio lazima wote tuwe na tabia zinazofanana.
Ninarudia tena;Inakusaidia nini?
Governments dont make money,they take your hard earned money,they use it what their minds want...
Pia tofautisha nchi na serikali!
Unarudia nini?Ninarudia tena;
Wewe endelea kuichukia serikali ila mimi nitaendelea kuipenda serikali pamoja na nchi yangu. Sio lazima wote tuwe na tabia zinazofanana.
kama unataka real demo PM me tutengeneze circuit husika na kuandaa demo driving licence with RFID na fingerprint readerSawa mkuu...
Mawazo mazuri sana
Sawa mkuu. Ninakuja PM.kama unataka real demo PM me tutengeneze circuit husika na kuandaa demo driving licence with RFID na fingerprint reader
Wewe endelea kuichukia serikali ila mimi nitaendelea kuipenda serikali pamoja na nchi yangu. Sio lazima wote tuwe na tabia zinazofanana.Unarudia nini?
Hujajibu nilichokitoa kama hoja...
Unapenda serikali?Unapenda nchi?
Kama unapenda nchi nipo na wewe sehemu moja ila kama unapenda serikali hatupo pamoja kwenye hilo of which ni very okay..
Turudi kwenye serikali,imekusaidia nini hasa?
Halafu wewe nakuona genius sana kumbe...Wewe endelea kuichukia serikali ila mimi nitaendelea kuipenda serikali pamoja na nchi yangu. Sio lazima wote tuwe na tabia zinazofanana.
Mimi mbona sio genius? Mimi mbona ni mtu wa kawaida sana. Ni nani alikwambia kuwa mimi ni genius?...Halafu wewe nakuona genius sana kumbe...