Nimewaza Ujinga: Kwanini magari yasigome kuwaka mpaka dereva atakapochomeka leseni yake na funguo kwa pamoja?

Nimewaza Ujinga: Kwanini magari yasigome kuwaka mpaka dereva atakapochomeka leseni yake na funguo kwa pamoja?

inawezekana sanaaa, zipo baadhi ya hotel/nyumba ili kuingia lazima uweke/upachike kadi ndipo mlango ufunguke....ukishaingia unapachika kadi sehemu husika, ndipo taaa zinawakaa.

ni nawazaga kwa nini wakati mwingine kupiga chafya na kutoa hewa ya ukaa hutokea kwa pamoja, je waeza zuia kimojawapo?
Pole mkuu ni nani aliekuharibia huo mfumo hadi hali hiyo ikupate kila upigapo chafya? Na alaaniwe kiumbe huyo.
 
People usually hate governments...

Governments dont have money of their own,wananchi ndio wana hela..

Tengeneza solution kusaidia wananchi na sio governments..

Wacha kuzisaidia governments to do their job ....

Saidia wananchi....

Wacha serikali zitoke jasho kusimamia wananchi,wananchi need freedom,government is always working hard to take those freedoms,let the government work on its own...

Saidia wananchi,they will pay you,governments do not pay anybody anything

Kwa jinsi sipendi governments,ningejenga solution kusaidia wananchi wawe free zaidi na magari yao,leseni ni kazi ya serikali na iteseke kufanya yenyewe.

Wewe ukitoahii solution mimi nitatoa ya ku-bypass your solution hawa wanadamu wenzangu wawe free kuishi maisha yao bila kufatwa fatwa matakoni

Kusaidia mwananchi ndio uzalendo hasa
 
Haya ni mawazo yako binafsi na siwezi kukupinga. Ngoja tusikilize na wadau wengine wa hapa JF watasemaje. Thanks...
100%inawezekana.japo wenzetu sasa hivi wana gari zisizo na dereva kabisa.unaiambia unapokwenda inakupeleka. zipo ambazo zina sensor ya pombe,ikisensi pombe aiwaki kabisa.zipo push to start...kama funguo yake aipo ndani ya gari(mfano mfukonimwa suruali ya dereva aitowaka)Ili kuwezesha hilo Leseni za udereva zinakuwa na RFID kama vile vitambulisho vya NIDA na pia kuna kuwa na finger print ambayo itasoma kidole cha dereva(baada ya kuingizwa kabla kwenye data base).

Gari itakuwa na modem yenye line ya simu kama vile EFD za TRA kuweza access finger print database za Dereva na Leseni informations (kama ipo sawa au ime expire toka kwenye database yaenye hizo taarifa- kama ilivyo kwenye kuingiza vocha za simu..kuna server yenye 2 data base moja yenye vocha zisizotumika na nyingine vocha zikizotumika so ukiingiza inatazama kwenye hizi 2 Database na kufanya maamuzi
 
People usually hate governments...

Governments dont have money of their own,wananchi ndio wana hela..

Tengeneza solution kusaidia wananchi na sio governments..

Wacha kuzisaidia governments to do their job ....

Saidia wananchi....

Wacha serikali zitoke jasho kusimamia wananchi,wananchi need freedom,government is always working hard to take those freedoms,let the government work on its own...

Saidia wananchi,they will pay you,governments do not pay anybody anything

Kwa jinsi sipendi governments,ningejenga solution kusaidia wananchi wawe free zaidi na magari yao,leseni ni kazi ya serikali na iteseke kufanya yenyewe.

Wewe ukitoahii solution mimi nitatoa ya ku-bypass your solution hawa wanadamu wenzangu wawe free kuishi maisha yao bila kufatwa fatwa matakoni

Kusaidia mwananchi ndio uzalendo hasa
Wewe endelea kuchukia serikali ila mimi nitaendelea kuipenda serikali pamoja na nchi yangu. Sio lazima wote tuwe na tabia zinazofanana.
 
Mawazo mazuri sana
Mawazo mabovu sana ya kusaidia government ku-take freedoms of our beloved people away!

Iache government itumie ubongo wake kufanya kazi zake za kuharamia watu,usiisaidie lolote!

Na kwanza hailipi kama wananchi....

Wananchi wanalipa,sababu wana hela....serikali haina hela,sana sana watakudhulumu innovation yako for free!
 
Inakusaidia nini?

Governments dont make money,they take your hard earned money,they use it what their minds want...

Pia tofautisha nchi na serikali!
Ninarudia tena;

Wewe endelea kuichukia serikali ila mimi nitaendelea kuipenda serikali pamoja na nchi yangu. Sio lazima wote tuwe na tabia zinazofanana.
 
Ninarudia tena;

Wewe endelea kuichukia serikali ila mimi nitaendelea kuipenda serikali pamoja na nchi yangu. Sio lazima wote tuwe na tabia zinazofanana.
Unarudia nini?

Hujajibu nilichokitoa kama hoja...

Unapenda serikali?Unapenda nchi?

Kama unapenda nchi nipo na wewe sehemu moja ila kama unapenda serikali hatupo pamoja kwenye hilo of which ni very okay..

Turudi kwenye serikali,imekusaidia nini hasa?
 
Mawazo mazuri sana

Jane mambo!

Wazo zuri ngoja kwanza nimalize huu mzigo hapa [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] nisipokuwa tired nitakuja kukupa challenge kidogo ili from there ujue unaboresha vp mfumo wako..... krbuni lkn..... [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
 
Unarudia nini?

Hujajibu nilichokitoa kama hoja...

Unapenda serikali?Unapenda nchi?

Kama unapenda nchi nipo na wewe sehemu moja ila kama unapenda serikali hatupo pamoja kwenye hilo of which ni very okay..

Turudi kwenye serikali,imekusaidia nini hasa?
Wewe endelea kuichukia serikali ila mimi nitaendelea kuipenda serikali pamoja na nchi yangu. Sio lazima wote tuwe na tabia zinazofanana.
 
Wewe endelea kuichukia serikali ila mimi nitaendelea kuipenda serikali pamoja na nchi yangu. Sio lazima wote tuwe na tabia zinazofanana.
Halafu wewe nakuona genius sana kumbe...

Yaani wewe kwavile uliambiwa tangu la kwanza penda serikali basi unaipenda kweli mpaka umekua mtu mzima unaipenda kweli kweli?

Haya bana kila la heri
 
Magufuli haitaji kupiga kampeni Mkuu hata akikaa ofisini lazima achaguliwe kwa kishindo Kazi zake zinambeba.
 
Back
Top Bottom