Nimeweka 3M UTT lakin imeongezeka 360 Nimeshtuka?? watalaam mje mnifafanulie

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
2,095
Reaction score
3,649
wakuu mimi niko Liquid fund .Haya ndo niliyoyaona nimeweka 3M nina wiki na imeongezeka 360 ndo nn yaan mbona haiendani na % nazo calculate

NB: Nyie wa kulike kila comment tafadhari sana Mnisamehe.Nahitaji notification za hoja siyo like! Natafuta maisha jamani tusameheane
 
Attachments

  • C8FB82E4-ACD9-407A-B5A0-3F8E14B6A66E.jpeg
    C8FB82E4-ACD9-407A-B5A0-3F8E14B6A66E.jpeg
    155.2 KB · Views: 9
Friedrich Nietzsche mkuu naona kama kipindi unajiunga na hii mifuko haukusoma vizuri na kuelewa inavyotenda kazi pia inaonekana unataka mafanikio ya haraka haraka kweli ndan ya wiki moja unaanza kuhaha😀😀😀 maana yake kila muda unachungulia? Kwa hyo mil 3 yako kwa hesabu ya haraka haraka mwisho wa mwezi utapata kati ya sh 18-21 elf kuwekeza sio jambo jepesi mzee kuwa mvumilivu na inaonekana ulijazwa upepo haukusoma na kuelewa utt ni nini na mifuko yake inafanyaje kazi.
 
Liquid fund itakuwa ipo na riba chache sana maana ukisema liquid maana yake wame invest kwenye investment instruments za mda mfupi ambazo zina riba ndogo

Kitu kingine ni kwamba UTT ni kama fund management company ambalo linakuwa na normal operations expenses, maana yake ni kwamba returns ambazo unapata zinakuwa tayari zimepigwa panga kiaina. Ndo mana ni vizuri sana kama ungewekeza hizo pesa direct kwa kununua T-Bills au Fixed deposits za mda mfupi.
 
nilisoma soma mkuu lakini kimahesabu mbona haiendi hivi
 
Liquid fund itakuwa ipo na riba chache sana maana ukisema liquid maana yake wame invest kwenye investment instruments za mda mfupi ambazo zina riba ndogo
hata maana ya liquid sikua najua😂
Kitu kingine ni kwamba UTT ni kama fund management company ambalo linakuwa na normal operations expenses, maana yake ni kwamba returns ambazo unapata zinakuwa tayari zimepigwa panga kiaina. Ndo mana ni vizuri sana kama ungewekeza hizo pesa direct kwa kununua T-Bills au Fixed deposits za mda mfupi.
😳
 
T

T bills ndo nn??
 
fixed deposite zina hela shida ni hapo kwene tax ndo inaua kila kitu
 
Back
Top Bottom