Nimeweka 3M UTT lakin imeongezeka 360 Nimeshtuka?? watalaam mje mnifafanulie

Nimeweka 3M UTT lakin imeongezeka 360 Nimeshtuka?? watalaam mje mnifafanulie

wakuu mimi niko Liquid fund .Haya ndo niliyoyaona nimeweka 3M nina wiki na imeongezeka 360 ndo nn yaan mbona haiendani na % nazo calculate
Katika kitu nachoamini ni kuthubutu hata kama ukiwekeza hiyo 3m yote na ikapotea katika shughuli za uwekezaji usiogope kwasabab ni katika safar ya kujifunza ili kuwa imara zaid. Hapo unawanufaisha wengine na wanakuona wewe fala ndomana wanakupa visenti wanavotaka wao kwasabab wameona wewe huwez kufikiria vizuri
 
wakuu mimi niko Liquid fund .Haya ndo niliyoyaona nimeweka 3M nina wiki na imeongezeka 360 ndo nn yaan mbona haiendani na % nazo calculate
Wewe ni muongo. Hakiki taarifa zako vizuri. Maana kwa mujibu wa kiambatanisho salio laki ni 3,100,360. Ina maana kuna ongezeko la 100,360. Na hili haliwezi kuwa ongezeko la wiki.

Kwa wiki moja ongezeko la 3M lingezidi 7000. Hebu toa taarifa sahihi.
 
Katika kitu nachoamini ni kuthubutu hata kama ukiwekeza hiyo 3m yote na ikapotea katika shughuli za uwekezaji usiogope kwasabab ni katika safar ya kujifunza ili kuwa imara zaid. Hapo unawanufaisha wengine na wanakuona wewe fala ndomana wanakupa visenti wanavotaka wao kwasabab wameona wewe huwez kufikiria vizuridu
 
Wewe ni muongo. Hakiki taarifa zako vizuri. Maana kwa mujibu wa kiambatanisho salio laki ni 3,100,360. Ina maana kuna ongezeko la 100,360. Na hili haliwezi kuwa ongezeko la wiki.

Kwa wiki moja ongezeko la 3M lingezidi 7000. Hebu toa taarifa sahihi.
Nimeongelea milioni sijaongelea laki
hiyo laki ni sehemu ya mtaji wangu
 
Back
Top Bottom