Nimeweka 3M UTT lakin imeongezeka 360 Nimeshtuka?? watalaam mje mnifafanulie

Iko hivi ukiwekeza kwenye mfuko wa UTT Liquid funds kikawaida huu mfuko hutoa Ongezeko la asilimia 7-10 kwa mwaka, Makadirio tuweke 8% .

Kwa uwekezaji wako wa 3,000,000/= Nikikupigia hesabu kwa mwaka kwa Interest rate ya 8% kwa mwaka inakuja 3240,000/= 👇
Screenshot_20241123-174446.jpg

Sasa nikikupigia hesabu ya Mwezi utakua na 3,20,000/=
Screenshot_20241123-175338~2.png

Kwa maana hiyo kwa wiki ilitakiwa isome 3,05,000/=, Mwanzo hua ina shake hivyo hivyo mpaka walau utulie Miezi3 .

Kwanza nikuulize, kwenye muda wa kuwekeza umeweka malengo ya Miezi mingapi au Miaka mingapi?
 
Iko hivi ukiwekeza kwenye mfuko wa UTT Liquid funds kikawaida huu mfuko hutoa Ongezeko la asilimia 7-10 kwa mwaka, Makadirio tuweke 8% .

Kwa uwekezaji wako wa 3,000,000/= Nikikupigia hesabu kwa mwaka kwa Interest rate ya 8% kwa mwaka inakuja 3240,000/= 👇
View attachment 3159720

Sasa nikikupigia hesabu ya Mwezi utakua na 3,20,000/=
View attachment 3159723
Kwa maana hiyo kwa wiki ilitakiwa isome 3,05,000/=

Mi nataka flexibility ya kutoa muda wowote.

Lengo langu ifike mtaji wakuweza kunipa atleast 500k kila mwezi
 
Iko hivi ukiwekeza kwenye mfuko wa UTT Liquid funds kikawaida huu mfuko hutoa Ongezeko la asilimia 7-10 kwa mwaka, Makadirio tuweke 8% .

Kwa uwekezaji wako wa 3,000,000/= Nikikupigia hesabu kwa mwaka kwa Interest rate ya 8% kwa mwaka inakuja 3240,000/= 👇
View attachment 3159720

Sasa nikikupigia hesabu ya Mwezi utakua na 3,20,000/=
View attachment 3159723
Kwa maana hiyo kwa wiki ilitakiwa isome 3,05,000/=

Kwanza nikuulize, kwenye muda wa kuwekeza umeweka malengo ya Miezi mingapi au Miaka mingapi?
hii calculator yako naipata wapi
 
lakini mkuu hapa projection ya Return naona umeweka kidogo sana.

platform yao inasema kwa mwaka jana wamefunga na 13%
 
wanadai mwaka 2022 ilikua 14%
 
lakini mkuu hapa projection ya Return naona umeweka kidogo sana.

platform yao inasema kwa mwaka jana wamefunga na 13%
Natambua hilo , kwenye hesabu za uwekezaji hua tunapigia kile kiwango cha makadirio ambacho huwa hakishuki zaidi ya hapo, kama kikizidi bhasi Tunasema "Buuum"..

Expection ziwe ndogo kuliko reality, hii itakusaidia kutokutoa fedha kirahisi kadiri hisa zinavyoshuka [Investment Consistent].
 
Ina vary miaka na miaka, mwezi kwa mwezi, wiki kwa wiki, siku kwa siku. Hapo wanaongelea wastani wa riba ambayo wamekuwa wakitoa kama gawio. Kwa mfano kipindi cha corona faida ilishuka.
 
Natambua hilo , kwenye hesabu za uwekezaji hua tunapigia kile kiwango cha makadirio ambacho huwa hakishuki zaidi ya hapo, kama kikizidi bhasi Tunasema "Buuum"..

Expection ziwe ndogo kuliko reality, hii itakusaidia kutokutoa fedha kirahisi kadiri hisa zinavyoshuka [Investment Consistent].
asante kwa hii comment
 
Iko hivi ukiwekeza kwenye mfuko wa UTT Liquid funds kikawaida huu mfuko hutoa Ongezeko la asilimia 7-10 kwa mwaka, Makadirio tuweke 8% .

Kwa uwekezaji wako wa 3,000,000/= Nikikupigia hesabu kwa mwaka kwa Interest rate ya 8% kwa mwaka inakuja 3240,000/= [emoji116]
View attachment 3159720

Sasa nikikupigia hesabu ya Mwezi utakua na 3,20,000/=
View attachment 3159723
Kwa maana hiyo kwa wiki ilitakiwa isome 3,05,000/=

Kwanza nikuulize, kwenye muda wa kuwekeza umeweka malengo ya Miezi mingapi au Miaka mingapi?
Huu uwekezaji unahitaj uvumilivu[emoji1] yaan kwa mwaka mzima faida 240,000 huku mtaji wako ukiwa 3m...hapana mwee mm sina uvumilivu huo[emoji854]
 
Back
Top Bottom