Nimeweka 3M UTT lakin imeongezeka 360 Nimeshtuka?? watalaam mje mnifafanulie

Nimeweka 3M UTT lakin imeongezeka 360 Nimeshtuka?? watalaam mje mnifafanulie

Friedrich Nietzsche mkuu naona kama kipindi unajiunga na hii mifuko haukusoma vizuri na kuelewa inavyotenda kazi pia inaonekana unataka mafanikio ya haraka haraka kweli ndan ya wiki moja unaanza kuhaha😀😀😀 maana yake kila muda unachungulia? Kwa hyo mil 3 yako kwa hesabu ya haraka haraka mwisho wa mwezi utapata kati ya sh 18-21 elf kuwekeza sio jambo jepesi mzee kuwa mvumilivu na inaonekana ulijazwa upepo haukusoma na kuelewa utt ni nini na mifuko yake inafanyaje kazi.
Kuna Jamaa Aliweka Cash UTT Hata Masaa 48~78 Hajafika Kwa Siku 3 Za Kazi Ili Vipande Vinunuliwe Yeye Akaenda Kutoa Pesa Yake
Anasema Nina Shida, Hapo Changamoto
 
Kuwa mvumilivu ndiyo kwanza umejiunga, hesabu zitaanza kwenda sawa. Hapo huwezi pata 1000 kwa siku itakuwa 833 hivi, Mimi nimeweka na hawa watu wapo vizuri kwenye kuongeza faida zako. Siku za wikendi hawafanyi kazi kwahiyo kama ijumaa haukuwekewa faida zako za siku hiyo basi watakuwekea faida zako wiki inayofuata pamoja na siku zote za weekend. Subiri Kuna siku utakuta fedha nyingi imeongezeka ukipiga hesabu utagundua Kuna siku hukuwekewa kwa wakati. Ila huwezi ibiwa .
wakuu mimi niko Liquid fund .Haya ndo niliyoyaona nimeweka 3M nina wiki na imeongezeka 360 ndo nn yaan mbona haiendani na % nazo calculate
 
Kuwa mvumilivu ndiyo kwanza umejiunga, hesabu zitaanza kwenda sawa. Hapo huwezi pata 1000 kwa siku itakuwa 833 hivi, Mimi nimeweka na hawa watu wapo vizuri kwenye kuongeza faida zako. Siku za wikendi hawafanyi kazi kwahiyo kama ijumaa haukuwekewa faida zako za siku hiyo basi watakuwekea faida zako wiki inayofuata pamoja na siku zote za weekend. Subiri Kuna siku utakuta fedha nyingi imeongezeka ukipiga hesabu utagundua Kuna siku hukuwekewa kwa wakati. Ila huwezi ibiwa .
Nimekupenda bure mkuu😋
kifupi nice to meet your brain.
Imenitoa uvundo
 
Back
Top Bottom