Nimeweka 3M UTT lakin imeongezeka 360 Nimeshtuka?? watalaam mje mnifafanulie

wakuu mimi niko Liquid fund .Haya ndo niliyoyaona nimeweka 3M nina wiki na imeongezeka 360 ndo nn yaan mbona haiendani na % nazo calculate

NB: Nyie wa kulike kila comment tafadhari sana Mnisamehe.Nahitaji notification za hoja siyo like! Natafuta maisha jamani tusameheane
3m baada ya wiki imeongezeka 360? Hata jero haijafika? Umepigwa? Bora ungekopesha vikoba mitaani ungeonekana wa maana!
 
wakuu mimi niko Liquid fund .Haya ndo niliyoyaona nimeweka 3M nina wiki na imeongezeka 360 ndo nn yaan mbona haiendani na % nazo calculate

NB: Nyie wa kulike kila comment tafadhari sana Mnisamehe.Nahitaji notification za hoja siyo like! Natafuta maisha jamani tusameheane
Mh
 
Zile asilimia zinazotajwa huwa ni kwa mwaka sio kwa wiki au siku.
Kwa layman labda tunaweza kujaribu kuchanganua hivi...
Mfano: faida ni 12% = 0.12 × kiasi ulichoweka kwa mwaka.

Ina maana Ukitaka kujua unapata ngapi kwa wiki/siku:
Ni sawa na 0.12÷ siku 366!
Haha uongo!
 
niko na hesabu hiyo hyo mkuu
 
Huu uwekezaji unahitaj uvumilivu[emoji1] yaan kwa mwaka mzima faida 240,000 huku mtaji wako ukiwa 3m...hapana mwee mm sina uvumilivu huo[emoji854]
Ukizungumzia uwekezaji inamaanisha ni mpango wa miaka 10 na kuendelea .

Neno kuwekeza means Long term plan yaani watafaidika mpaka wanao .

Mfano kuna Bro wangu mmoja [Mentor], anafanya uwekezaji wa real estate, amejenga Hoteli mpaka inaanza kufanya kazi ametumia Milioni 430, Kwa mwaka anatarajia kupata return ya 10-15%

Tuseme mfano ingekua kaweka UTT kwa riba ya 13%, Tukitumia hesabu ya Albert Einstein chukua 72 gawanya kwa 13=5.5

Yaani itamchukua miaka 5 na Miezi mitano kurudishia mara2 ya pesa aliyowekeza, ndipo awe na 860M .

Kwahiyo uwekezaji sio kwa ajili yako tu, ni mpaka vizazi vinavyokufuatia .
 
Ukizungumzia uwekezaji inamaanisha ni mpango wa miaka 10 na kuendelea .

Neno kuwekeza means Long term plan yaani watafaidika mpaka wanao .

Mfano kuna Bro wangu mmoja [Mentor], anafanya uwekezaji wa real estate, amejenga Hoteli mpaka inaanza kufanya kazi ametumia Milioni 430, Kwa mwaka anatarajia kupata return ya 10-15%

Tuseme 13% kwa hesabu ya Albert Einstein chukua 72 gawanya kwa 13=5.5

HA!HA!HA yaani itamchukua miaka 5 na Miezi mitano kurudishia mara2 ya pesa aliyowekeza, ndipo awe na 860M

Tatizo la watanzania ni maneno! Maneno! Maneno! Longolongo na uongo! Wizi na upigaji na deal feki! Mnachokijua ni ngono! Mdau kaja clear na figure! Na nyie mumjibu kwa figure! Nachoona mleta mada anaishi maisha ya mwaka 47! Kama una hela zako ziwekeze mwenyewe au kama huwezi, jenga nyumba vya mbavu za mbwa upangishe hata 20,000 kwa mwezi kuliko kuwapelekea wezi na matapeli!
 
Uwekezaji wa real Estate mfano nyumba za kupangisha unawauwa kwa Pressure wastaafu wengi sana wanaoukurupukia, Huu uwekezaji ni mtamu kama ukiuwahi ukiwa na 20s -Early 30s..

Zaidi ya hapo, Utakua unawawekezea wanao na Wajukuu zako, Return yake ni ndogo mnoo...!!
 
Ukizungumzia uwekezaji inamaanisha ni mpango wa miaka 10 na kuendelea .

Neno kuwekeza means Long term plan yaani watafaidika mpaka wanao .

Mfano kuna Bro wangu mmoja [Mentor], anafanya uwekezaji wa real estate, amejenga Hoteli mpaka inaanza kufanya kazi ametumia Milioni 430, Kwa mwaka anatarajia kupata return ya 10-15%

Tuseme 13% kwa hesabu ya Albert Einstein chukua 72 gawanya kwa 13=5.5

HA!HA!HA yaani itamchukua miaka 5 na Miezi mitano kurudishia mara2 ya pesa aliyowekeza, ndipo awe na 860M

Kwahiyo uwekezaji sio kwa ajili yako tu, ni mpaka vizazi vinavyokufuatia .
Hii hesabu yako sijaielewa. Please fafanua
 
Kama unafanya biashara inayokuingizia pesa umefanya kitu sahihi, Kama umeajiriwa hiyo pesa utaitoa tu utake, usitake..

USHAURI: Usiwekeze kama huna biashara zaidi ya Moja .
 
Back
Top Bottom