Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo aisee kwani hiyo Oryx sio oil? Ukute Huna hata baiskel halafu unajidai unatoa ushaur humu. Mtoa mada kwa gari ya 2003 hiyo oil ipo sawa kabisa italinda engine yako vzr tuSi ungeenda oil station wakakuekea castrol oil tu boss...xtrail haipend kuzingua kwenye oil
Unachukua, unaweka, WAAH!Wakuu salama? Nimeweka Engine Oil 20W-50 kwenye X-trail niliyonujua majuzi nipo sawa? Ama nimeingia cha kike?
mileage: 41,000kms
Si ungeenda oil station wakakuekea castrol oil tu boss...xtrail haipend kuzingua kwenye oil
View attachment 1665912
Hata mm nimenunua Hiyo oil kwa ajili ya Rav 4 2006 AKA Miss TZ je nipo sawa
View attachment 1665913
Pia nimenunua Hizi dawa kwa ajili ya kusafisha mfumo wa oil na Kusafisha mfumo wa petroli je nipo sawa au kuna changamoto??
Bora choo cha kike bosi unaweza ukaona hata pichu ya mrembo...Wakuu salama? Nimeweka Engine Oil 20W-50 kwenye X-trail niliyonujua majuzi nipo sawa? Ama nimeingia cha kike?
mileage: 41,000kms
Mkuu nimeona mambo ya 20w50 kwenye xtrail hapo...Umeingia cha kike waaaaaaah,eeeh papa mobimbaaaaa....
Boeing 747
Castrol,Toal, Oryx na nyinginezo zoooote, usipofuata specifications za gari lako utapigwa tu...Si ungeenda oil station wakakuekea castrol oil tu boss...xtrail haipend kuzingua kwenye oil
Daah aisee mkuu kesho hapa watakuja kulalamika oooh nissan hua zinazingua sijui nini,ile thread yako khs Nissan inajibu mengi sana khs mambo mengi sana + threads nyingine za wadau sema kama kawaida yetu hatupendi kujisomea somea.Mkuu nimeona mambo ya 20w50 kwenye xtrail hapo...
Inaonekana watu si wapekuzi wa nyuzi za nyuma...suala la oil limejadiliwa sana huku...
Japo ninatamani niandike uzi special wa matumizi ya oil..
Wewe na huyo wa Xtrail wote mpo nia moja....Gari zetu nyingi haswa za petrol za miaka ya 2000 kuja juu, nyingi SAE VISCOSITY ni 5w30 au 10w30.View attachment 1665912
Hata mm nimenunua Hiyo oil kwa ajili ya Rav 4 2006 AKA Miss TZ je nipo sawa
View attachment 1665913
Pia nimenunua Hizi dawa kwa ajili ya kusafisha mfumo wa oil na Kusafisha mfumo wa petroli je nipo sawa au kuna changamoto??
Wewe na huyo wa Xtrail wote mpo nia moja....Gari zetu nyingi haswa za petrol za miaka ya 2000 kuja juu, nyingi SAE VISCOSITY ni 5w30 au 10w30.
Kuhusu hizo dawa, hiyo ya kusafisha injectors wanashauri uweke kichupa kimuja kwa kila lita 50 za petrol....niliwahi kuifuatilia revies zake mitandao ya nje, wengi walisema wameona matokeo mazuri..
Hiyo injini oil flush sina info zaidi..
Ushauri kwa Hii Rav 4 na Xtrail ya mleta...
Mwageni hizo oil muweke oil recommended
Sawa sawa lakini kwa hali yetu ya hewa na barabara mbovu, mara nyingi tunazipa engine kazi ya ziada hiyo 0w20 haifai kwa TZ...hiyo labda kule Canada kwenye barafu...kwa bongo kwa hiyo gari yake suluhisho ni 5w30Hata alivyonunua hiyo kapata ushauri. So anajaribu kupata maelezo mengine, maana hizi oil zipo nyingi sana na mbaya zaidi zile zikizoandikwa kwenye Vitabu vya gari hazipo huku kwetu ndio maana mada za oil haziishi.
Mfano mm gari yangu inatakiwa oil 0W20 lakini Nchi nzima hii hakuna unahangaika na mafundi wakutajie Equivalent yake Mara uambiwe ni 5W30 mara 20W50 mambo ni mengi
Na matumizi mabovu ya oil yamepelekea injini nyingi sana kufa,Daah aisee mkuu kesho hapa watakuja kulalamika oooh nissan hua zinazingua sijui nini,ile thread yako khs Nissan inajibu mengi sana khs mambo mengi sana + threads nyingine za wadau sema kama kawaida yetu hatupendi kujisomea somea.
Ukipata muda andika tu mkuu khs matumizi ya oil unaweza kusaidia watu wengi sana,tofauti na sasa ambapo watu wanapeleka gari kwa mafundi huku wakitegema fundi ndio awape ushauri na fundi mwenyewe ni wa chini ya mti hajui tech. ya kisasa ya magari inaendaje.