Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.
Mkuu Hongera! umetupa hamasa ya kusafiri usiku kuepuka mitochi isiyo na idadi barabarani kuna wakati niliendesha Dar to Kisumu via Nairobi nilitoka Dar saa 4 usiku by saa 11 alfajiri nipo Nairobi saa 6 kamili mchana nipo Kisumu (ukweni). Uzuri wa Kenya hamnaga hiyo mitochiWakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.
Asante mkuu nilifika salama.safar ya dar ni kurud nyumban kutoka kutafuta ugal mkoan mkuu..bt kukimbia road ndo mchezo wang yan..ndo mana napenda kusafir usikuMi nakuombe ufike Dar Salama, hayo ya kuweka record yana watu wake, kwani safari ya Dar ni kupeleka report ya kuweka record?
Hahaaa angekutupa mana.zile kona iyovi ple zinashawishi.sanaNilishapita hapo na brevis usiku kama saa sita hivi nilipofika pale comfort wife akagoma kuendelea na safari ikabidi nimuachie aendeshe yeye.
Mwishoni sikuona mantiki ya kuendesha gari yeye maana alikuwa analala nazo kona iyovi hadi nikaingiwa na woga