Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.
Usinikumbushe hapo nilipata ajali nilikuwa natelemka kwa speed breki ikakata ikabidi gari niibamize kulia ilianza kwenda speed ya ajabu..!! Nakushauri usirudie tena.... Unatakiwa kutelemla na gia nzito 2 acha kabisa!!