Nimeweka record leo mlima kitonga.

Nimeweka record leo mlima kitonga.

Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.

Usinikumbushe hapo nilipata ajali nilikuwa natelemka kwa speed breki ikakata ikabidi gari niibamize kulia ilianza kwenda speed ya ajabu..!! Nakushauri usirudie tena.... Unatakiwa kutelemla na gia nzito 2 acha kabisa!!
 
Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.
Mkuu Hongera! umetupa hamasa ya kusafiri usiku kuepuka mitochi isiyo na idadi barabarani kuna wakati niliendesha Dar to Kisumu via Nairobi nilitoka Dar saa 4 usiku by saa 11 alfajiri nipo Nairobi saa 6 kamili mchana nipo Kisumu (ukweni). Uzuri wa Kenya hamnaga hiyo mitochi
 
Ulikuwa unawahi wapi ndugu yetu? maana ajali nyingi zinatokea kizembe namna hii mara nyingi
Kuwa speed sio kusababisha ajal,.ajal inatokana na uzembe au kutokuwa makin so hata ukiwa speed ndogo unaweza pata ajal ivo ivo..
 
next time uendelee kuvunja record kwa kumia dk 2.32 ili tukukute chini ya bonde
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kufa kupo tu mkuu hakukwepeki bhn..na lolote litokealo mung kapanga.
 
Mi nakuombe ufike Dar Salama, hayo ya kuweka record yana watu wake, kwani safari ya Dar ni kupeleka report ya kuweka record?
Asante mkuu nilifika salama.safar ya dar ni kurud nyumban kutoka kutafuta ugal mkoan mkuu..bt kukimbia road ndo mchezo wang yan..ndo mana napenda kusafir usiku
 
Nilishapita hapo na brevis usiku kama saa sita hivi nilipofika pale comfort wife akagoma kuendelea na safari ikabidi nimuachie aendeshe yeye.
Mwishoni sikuona mantiki ya kuendesha gari yeye maana alikuwa analala nazo kona iyovi hadi nikaingiwa na woga
Hahaaa angekutupa mana.zile kona iyovi ple zinashawishi.sana
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom