Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.
Mkuu bila shaka ulitumia ule mmea pendwa pamoja na ngumu kumezaWak safar za usiki tamu
Hakuna longo longo.
Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.
Itakuwa vizur..bt mbn kawaida tu..na si wakwanza kushuka kwa mda mfupi wapo weng..mfno jmaa wa magazeti wale unawajua mkuu.huwa wanapamda mda fupi tu na ht ku overtake mliman hawaon tabu.Kuna siku utakutana na mwingine anaweka record ya kupanda Kitonga kwa muda mfupi, hapo ndipo wote mtasherekea kwa pamoja kuweka records zetu na kujaza habari kwenye vyombo vya habari na social media.
Dakika zote hizo....yaani siku utakapokata roho ni sekunde tu bro!.Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.
Hakuna longo longo ila usiombe kupata matatizo pale mikumi na kushindwa kuendelea na safari. Halafu likapita kundi la Simba kuja kutafuta kitoweo ndani ya gari au Tembo mwenye hasira kuja kulifanyizia gari lako.
Good mkuu lakn watu hawatakuuamin bhn lkn kwa sisi madereva tunaona kawaida ..kitonga sasa si km ile ya zaman ht kuovertake shida saiv hadi lor linaovertakeMkuu huwa nasafirisha gari mpya dar to congo na zambia usiku tu.. Nishatumia dakika 7 [emoji13][emoji13][emoji6][emoji6]
Ebu fafanua hiyo michezo, na sisi tupate ujasiri wakushuka huo mlima kwa speed hiyo!Hahaa mkuu ucwaze michezo ming ya road hasa usiku naifaham .