Nimeweka record leo mlima kitonga.

Nimeweka record leo mlima kitonga.

Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.
Wak safar za usiki tamu
Hakuna longo longo.
Mkuu bila shaka ulitumia ule mmea pendwa pamoja na ngumu kumeza
 
Naona ulichelewa,,ungeshuka kwa dk 6.5 na ukipanda upande kwa 12:05 minutes....
 
Ni kweli kama umefanya hivyo utakuwa umeweka rekodi, lakini ni rekodi mbaya, usijaribu kuivunja wala mwingine kuijaribu, nasikia pale Israeli amezaa na kuwajengea wanawe kwa bondeni.
Hahaaa aya mkuu
 
Mkuu kitonga ninayoijua Mimi ile ya Karibu na comfort hotel kwenda Iringa? au kitonga ya njia ya mvuti kutokea mbande kisewe kama unaenda chanika.
Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kuna siku utakutana na mwingine anaweka record ya kupanda Kitonga kwa muda mfupi, hapo ndipo wote mtasherekea kwa pamoja kuweka records zetu na kujaza habari kwenye vyombo vya habari na social media.
Itakuwa vizur..bt mbn kawaida tu..na si wakwanza kushuka kwa mda mfupi wapo weng..mfno jmaa wa magazeti wale unawajua mkuu.huwa wanapamda mda fupi tu na ht ku overtake mliman hawaon tabu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kuna kitu nahisi kama wewe hutafika salama huko unakoenda...

Mkuu ukifika Dar bila tatizo lolote njiani fanya kutujulisha hapa..
Yeah mkuu nilifika salama kbsa mkuu...bt ndo kawaida yng kusafir usiku
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar..
Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima kitonga kwa dakika 9naa..au 10 kbsa ....ila safar za usiki tamu sanasana
Hakuna longo longo.
Dakika zote hizo....yaani siku utakapokata roho ni sekunde tu bro!.
 
Hakuna longo longo ila usiombe kupata matatizo pale mikumi na kushindwa kuendelea na safari. Halafu likapita kundi la Simba kuja kutafuta kitoweo ndani ya gari au Tembo mwenye hasira kuja kulifanyizia gari lako.

Tena ktk road ya iringa mkuu sehem yenye matatizo sana ni mikumi ..na ruaha mbuyun lkn kwingne saf tu..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
IMG-20170428-WA0002.jpg
 
Mkuu huwa nasafirisha gari mpya dar to congo na zambia usiku tu.. Nishatumia dakika 7 [emoji13][emoji13][emoji6][emoji6]
Good mkuu lakn watu hawatakuuamin bhn lkn kwa sisi madereva tunaona kawaida ..kitonga sasa si km ile ya zaman ht kuovertake shida saiv hadi lor linaovertake
 
Back
Top Bottom