Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Sikumbuki mkuu....wataaalam wa teknologia ya maji
KAMA TUJUAVYO shabu inasafisha na kung’arisha maji.Nimenunua nimeweka kisimani lakin maji bado yana rangi ya juice cola!!
Mbinu gan nyingine ya kitaalam nimesahau
Nilitumia shabu miaka ya 1980's tukiwa tunaishi kotaz za Makokola mkoani Tabora.
Ila nakumbuka miaka ile tulikua tunakata kipande tunaweka kwenye maji ambayo tayari tulikua tumesha wachota na kuweka kwenye vyombo.
Nafikiri shabu haifai kusafisha maji ambayo yapo kisimani na yanaendelea kuongezeka.