Sikumbuki mkuu....wataaalam wa teknologia ya maji
KAMA TUJUAVYO shabu inasafisha na kung’arisha maji.Nimenunua nimeweka kisimani lakin maji bado yana rangi ya juice cola!!
Mbinu gan nyingine ya kitaalam nimesahau
wataaalam wa teknologia ya maji
KAMA TUJUAVYO shabu inasafisha na kung’arisha maji.Nimenunua nimeweka kisimani lakin maji bado yana rangi ya juice cola!!
Mbinu gan nyingine ya kitaalam nimesah
Umeweka kilo ngapi? Na je icho kisima kina urefu gani?Inwataaalam wa teknologia ya maji
KAMA TUJUAVYO shabu inasafisha na kung’arisha maji.Nimenunua nimeweka kisimani lakin maji bado yana rangi ya juice cola!!
Mbinu gan nyingine ya kitaalam nimesahau
Maabara za maji mkuu.Ingia ata youtube,uone inafanyikaje!Search jar test experiment.Jar test inafanyikaje mkuu
Chlorinehii chloline inapatikana dukan ??
Inapatikana as Calcium Hypochloritehii chloline inapatikana dukan ??
Lugha Nyepesi ndio Jik.Chlorine
Inapatikana as Calcium Hypochlorite
maduka yapi naweza pata hiiChlorine
Inapatikana as Calcium Hypochlorite
we acha uongoLugha Nyepesi ndio Jik.
nimenunua cha buku jero nimetumbukiza kwa kisimaUmeweka kwa kipimo au umejiwekea tu.
Shabu uendana na kipimo.
kila futi 8Umeweka kilo ngapi? Na je icho kisima kina urefu gani?In
Maabara za maji mkuu.Ingia ata youtube,uone inafanyikaje!Search jar test experiment.
we huna uo muongozo
aah kumbe haya ni ya kuweka kwene tankSikumbuki mkuu....
Nilitumia shabu miaka ya 1980's tukiwa tunaishi kotaz za Makokola mkoani Tabora.
Ila nakumbuka miaka ile tulikua tunakata kipande tunaweka kwenye maji ambayo tayari tulikua tumesha wachota na kuweka kwenye vyombo.
Nafikiri shabu haifai kusafisha maji ambayo yapo kisimani na yanaendelea kuongezeka.