Nimewekeza Milioni tano, faida napata laki 6, ni sahihi?

Hujasema umewekeza kwenye biashara gani, nani anafanya kazi wewe au umeweka mtu, location na mambo mengine mengi. Inashangaza kuona waomba ushauri hamtaki kujisumbua kutoa details kisha mnataka washauri wajisumbue kufikiria
 
Nafanya mwenyewe,
Hayo mengine naona hayana maana yeyote kwa lengo la mada hii

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Unaweza pewa hizo baada ya Mwaka principle yako hakuna na zikakata, bora ungezila taratibu
 
Tufanye unapata minimum 500k,
Hapa ni 10% daily which is a very higher margin.

Kama inawezekana naomba nije niongeze another 5mil kwenye hiyo business but nitachukua only 400k, the rest uchukue wewe.
 
Njoo kwenye kubet utatoboa mtaji wa 5mil unafaa[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…