Nimewekeza Milioni tano, faida napata laki 6, ni sahihi?

Mkuu hiyo ni kwa siku au kwa mwezi?
 
Average.. ila safi
 
Umepiga bonge la step mkuu,komaa utatoboa tu.
 
Unajua hilo unallfanya,kuna watu hawawezi kabisa nitegemezi tu,so hongera sana kwa hiyo hatu.

Yani biashara yako inakulisha,pambana ikue zaidi
 
Hiyo biashara inalipa sanaaa. Biashara yeyote inayolipa 10% ya mtaji kwa MWAKA ni biashara nzuri. Wewe unaingiza mora than 10% kwa mwezi hiyo ni moja ya biashara nzuri sana duniani kama ni halali.
 
Iko poa sana within the profit margin 10%
 
Hiyo faida kubwa sana kila siku tsh 20,000/kwa mwaka 7,200,000,shika hapo hapo usiachie
 
we ndo maana hupati faida[emoji1787][emoji1787]
Unatakiwa kutoa details maana mtu wa kukushauri ni ambaye anafanya kitu kama unachofanya
Au muongo[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kama capital 5m inabaki bila hasara naona haina shida
Watu wananunua bajaj 8.5m wanaingisha 20k per day
Manake kwa mwezi ni laki 6 ile ile kama yajamaa kasoro yeye kidogo kaweka hela kidogo kulinganisha na mwenye bajaji
 
Hujasema umewekeza kwenye biashara gani, nani anafanya kazi wewe au umeweka mtu, location na mambo mengine mengi. Inashangaza kuona waomba ushauri hamtaki kujisumbua kutoa details kisha mnataka washauri wajisumbue kufikiria
Ni gharama sana kuwaza mambo ya mtu ambae hayupo teyari kuwaza mambo yake mwenyewe
 
Tuseme jumla ya mtaji woteee wa biashara ni 1m kwa mwezi unapata faida ya laki3 uko vzr mno
Ongeza bidii na nidhamu
 
Tuseme jumla ya mtaji woteee wa biashara ni 1m kwa mwezi unapata faida ya laki3 uko vzr mno
Ongeza bidii na nidhamu
Sawa dadaake nakarbisha na ushauri pia jinsi ya kuikuza hii biashara hata Kwa wenye tenda za harusi wanichek pm Nije nipop ukumbini [emoji12][emoji12]
 
I mean no malice to nobody, tupo pamoja 💪💪. Munishi1698 and everyone else
 
Nilikuwaga nako hako kamashine kwanza kalikaa ndaani weee, nikakatumia miez kadhaa sikuona cha maana nikakauzia mbali tena kwa bei ya hasara laki, looh kama sio mpambanaj sio mpambanaji tu ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…