Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Kila la kheri kiswahili, tulikupenda ila umependwa zaidiAbalini za asubuhi wapedwa? Leo nimewota usiku ndoto ya kutisha sana. Niriona kuna ndege moja inaruka ila mda mfupi ikapoteza muerekeo na kuaguka chini. Hii ni mara ya tatu nawota hivi sijui ndoto hii ina mana gani.
Wataramu wa mabo ya ndoto naobeni msada juu ya ndoto hio. Asateni sana.
Nakutabiria L - R zako kwanza walahiAbalini za asubuhi wapedwa? Leo nimewota usiku ndoto ya kutisha sana. Niriona kuna ndege moja inaruka ila mda mfupi ikapoteza muerekeo na kuaguka chini. Hii ni mara ya tatu nawota hivi sijui ndoto hii ina mana gani.
Wataramu wa mabo ya ndoto naobeni msada juu ya ndoto hio. Asateni sana.
Duh..hii ndoto inafanana sana na aliyowahi kuota mbunge wa se' nge - LEMAAbalini za asubuhi wapedwa? Leo nimewota usiku ndoto ya kutisha sana. Niriona kuna ndege moja inaruka ila mda mfupi ikapoteza muerekeo na kuaguka chini. Hii ni mara ya tatu nawota hivi sijui ndoto hii ina mana gani.
Wataramu wa mabo ya ndoto naobeni msada juu ya ndoto hio. Asateni sana.
Safuha doto nyevu sijawahi kuwota ila hii inajiludialudia.