Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Abalini za asubuhi wapedwa? Leo nimewota usiku ndoto ya kutisha sana. Niriona kuna ndege moja inaruka ila mda mfupi ikapoteza muerekeo na kuaguka chini. Hii ni mara ya tatu nawota hivi sijui ndoto hii ina mana gani.
Wataramu wa mabo ya ndoto naobeni msada juu ya ndoto hio. Asateni sana.
Wataramu wa mabo ya ndoto naobeni msada juu ya ndoto hio. Asateni sana.