Nimewota Usiku

Nimewota Usiku

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Posts
23,372
Reaction score
54,943
Abalini za asubuhi wapedwa? Leo nimewota usiku ndoto ya kutisha sana. Niriona kuna ndege moja inaruka ila mda mfupi ikapoteza muerekeo na kuaguka chini. Hii ni mara ya tatu nawota hivi sijui ndoto hii ina mana gani.

Wataramu wa mabo ya ndoto naobeni msada juu ya ndoto hio. Asateni sana.
 
Kila la kheri kiswahili, tulikupenda ila umependwa zaidi
 
Asateni sana wote, naedelea kusubili majibu yenyu.
 
Safuha doto nyevu sijawahi kuwota ila hii inajiludialudia.
 
Abalini za asubuhi wapedwa? Leo nimewota usiku ndoto ya kutisha sana. Niriona kuna ndege moja inaruka ila mda mfupi ikapoteza muerekeo na kuaguka chini. Hii ni mara ya tatu nawota hivi sijui ndoto hii ina mana gani.

Wataramu wa mabo ya ndoto naobeni msada juu ya ndoto hio. Asateni sana.
Nakutabiria L - R zako kwanza walahi
Alafu ukiota ndege imeanguka maana yake utakufa kifo cha ghafla walahi
 
isis kuna uwusiano gani kati ya dege na kifo chagu?
 
Fudibishoo mimi ni mutanzania ila nakili nina matatizo katika kuadika hivyo naoba nivumilienani kwenye hilo.
 
Abalini za asubuhi wapedwa? Leo nimewota usiku ndoto ya kutisha sana. Niriona kuna ndege moja inaruka ila mda mfupi ikapoteza muerekeo na kuaguka chini. Hii ni mara ya tatu nawota hivi sijui ndoto hii ina mana gani.

Wataramu wa mabo ya ndoto naobeni msada juu ya ndoto hio. Asateni sana.
Duh..hii ndoto inafanana sana na aliyowahi kuota mbunge wa se' nge - LEMA
nyie mnamtafuta nini mzee Baba?
 
Back
Top Bottom