Nimeyakumbuka maisha yangu ya uyatima; Uyatima ni noma sana ndugu zangu

Ana roho ngumu, ulitaka azoe yeye..... ungekuwa wewe mwenye shamba ungemchekea?
 
Pole sana. Naelewa sana hali uliyoipitia. Naelewa vizuri sana kwa kuwa mimi pia ndio njia hiyo niliyopitia japo kwa namna ya tofauti kidogo. Ila amini kwamba nakuelewa vizuri.
Hongera kwa kutoboa
 
Pole sana Mungu atakusaidia kufuta maumivu yote, wewe wasamehe tu japo si rahisi kihivyo bila msaada wa Mungu huwezi, hata kama huwezi watafuta ila moyo wako uwe radhi kuyaachilia hayo ili moyo upone, nasema tena pole sana.
 
Uyatima unauma sana mm kuna matukio sijawah kuyasahau
 
Ghafla nimekumbuka sinema ya bite na lamoza,enzi hizo ikiwa inaonyeshwa mashuleni

Jinsi wale watoto walivyokuwa wanateseka,nakumbuka mwalimu wangu alikuwa anapewa leso ya kujifutia machozi..uyatima mbaya sana
Hii movie ilikua Kali sanaa, pamoja na Ile ya NEILA ya MAMA MJANE..

#YNWA
 
Leo ndio nimejua sababu ya wewe kutoka kuoa. Hujajifunza kwnye ndoa ya baba ako na mama ako
?
Nani amekwambia hilo?
Baba na mama walikua na maisha yao kwa uchaguzi wao, na Mimi Nina maisha yangu kwa uchaguzi wangu.

Kwani wale watoto mashoga, gays, na wezi ni kwamba wazazi wao walikua hivyo?

SIKIA DUNIA INA MAMBO MENGI SANAA na MUDA NI MCHACHE SANAA.

Narudia Tena:-
Nimeamua kufata njia ya KUSOMA na KUTAFUTA HELA hilo la KUOA NIWAACHIA NYIE.

#YNWA
 
Mimi ni mwanaume since day one mbona. Ndio maana naku quote ili kukusahihisha hususani kwenye thread zangu. Only that!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Hii nayo ni thread yako? Au ndo wewe Liverpool πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,, sitaki kuwa na mazoea na wewe hata kidogo kwahiyo kafie huko,, achana na post zangu popote pale, mpuuzi
 
Hii nayo ni thread yako? Au ndo wewe Liverpool [emoji23][emoji23][emoji23],, sitaki kuwa na mazoea na wewe hata kidogo kwahiyo kafie huko,, achana na post zangu popote pale, mpuuzi
Ndio maana nikaweka HUSUSANI, hope unaelewa maana ya neno hilo.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Duh pole sana mkuu kwa yote uliyopitia, ila naamini kila jambo linapangwa na Mungu ili ufike somewhere, hizo shida na yote uliyopitia ni Mungu alikusudia ufike hapo ulipo,hatuna budi kushukuru na kusamehe tu.

Ila uoe sasa, achana na mambo ya ubachela bana, wanawake wenye tabia njema bado wapo
 
Unaweza ukatunga kitabu chako mkuu, umeupiga mwingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…