Nimeyakumbuka maisha yangu ya uyatima; Uyatima ni noma sana ndugu zangu

Am sorry 😭😭😭😭
 
Kwanini ulijisaidia njiani?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Mkuu huyu ni wewe au umemuwakilisha unknown? Kama ni wewe pole sana mkuu, ila kama ni mwingine pole yake. Kikubwa sahau yaliyopita, hata kesho ya watoto wako huijui mkuu.
 
Pole sana mkuu,hongera sana kwa what u have become.
 

Pole sana mwanajukwaa kwa majaribu mengi na mazito uliyopitia ukiwa mdogo

Nakupa hongera kwa mapambano uliyofanya bila kukata tamaa.

USHAURI WANGU: Usijitenge sana na ndugu yapo baadhi ya mambo hayamalizwi na pesa bali humalizwa na watu hasa ndugu. Mfano mzuri ni tabu ulizopitia lakini ndugu pamoja na mapungufu yao,ndio walioonekana kua msaada zaidi

Mungu anamipango yake. Labda amekufanya uwe somo wengine wajifunze.
Pia kawe msaada kwa watakaohitaji kadri utakavyojaaliwa

Ninarudia pole kwa masaibu bali hongera sana kwa hatua nzuri ya kuigwa
 
Nimesoma hii nmejikuta tu nalia sijui hata nalia nini maana sijapitia hayo maisha nina wazazi wote wawili mpaka sasa ila maisha yalikua magumu tu wakati wa kusoma.
Pole sana kwa uliyopitia,

Ukiwa na wazazi at least unajua nani wa kwenda kumlilia na kutoa ya moyoni.

Ila ukiwa yatima daah, utamlilia nani.

Mimi nimepitia maisha ya uyatima, japo nimelelewa vizuri na kwa upendo na ndugu zangu walioachiwa majukumu. Ila vinginevyo huwa nawaza sjui ingekuwaje.
 
Hakuna watu nilikua nawachukia utotoni kama wafanya biashara wa madini, walimuua mshua kwenye biashara zao huko sijui walishindwana nini. Baada ya dingi kufa kila kitu kilipinduka, ila uyatima unatesa sana ndugu zangu usikie tu kwenye vyombo vya habari. Mimi hapa duniani ndugu zangu ni sita tu mama mzazi, wadogo zangu watatu, babu mzaa mama na bibi mzaa mama basi hao wengine tutakutana paradiso.
 
Mmmmm ndugu wangu ukifa utazikwa na city kama kipindi unakua hawakukujal et sahv ndo uwatafute mwaego pambana na walio kua na ww wengne piga kmya
 
Mmmmm ndugu wangu ukifa utazikwa na city kama kipindi unakua hawakukujal et sahv ndo uwatafute mwaego pambana na walio kua na ww wengne piga kmya
Hatakama usiwatafute lakini wakikutafuta wao usiijitenge nao.

Ishi nao kwa akili
 
Pole Sana,hao ndugu achana nao kabisa songa mbele na maisha yako,kikubwa usimtupe shangazi yako mlee hakukutupa kwenye dhiki ,shirikiana na mdogo wako mtengeneze familia yenye nguvu,Mungu awapunzishe wazazi wako kwa amani,ni mimi yatima mwenzio.
 
Mkuu huyu ni wewe au umemuwakilisha unknown? Kama ni wewe pole sana mkuu, ila kama ni mwingine pole yake. Kikubwa sahau yaliyopita, hata kesho ya watoto wako huijui mkuu.
Ni Mimi na yamepita..
Bado napambana.

#YNWA
 
Kwanza pole na hongera kwa kupambana bila kukata tamaa, Fahamu kila kitu huwa kinatokea kwa sababu, Mungu amekupitisha huko ili uje kuwasaidia wenye uhitaji hasa watoto yatima, Mungu akikujalia uwezo unaweza kufungua kituo cha watoto yatima ili kuwasaidia watoto wanaopitia changamoto kama ulizopitia, Nakushauri usilipe kisasi kwa wote waliokutendea ubaya, Majuto waliyonayo kwa sasa ni adhabu tosha, Nimejifunza mengi kupitia mkasa huu, Mungu akubariki uendelee kufanikiwa siku zote za maisha yako.
 
Nimeipitia hii habari kwa mara nyingine leo.
Pole mkuu kwa magumu kaza mwendo
Hii ni shule kwa walionyanyasika na pia nifunzo kwa wanyanyasaji na wakandamizaji
 
The hom
e of GREAT THINKERS. Pole sana mzee baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…