Nimeyakumbuka maisha yangu ya uyatima; Uyatima ni noma sana ndugu zangu

Jamaa ana psychological problem huwa tunamlaumu bure tu! Ila watu kama

Liverpool hupataga mademu wazuri sana na wenye huruma tokana na history yao.

Jamaa ajitwalie tu mtoto wa Kifilipino, Kijepu, Kichina au hata wazungu wa Scand...huwa wanakua(ga) down to earth sana wale
 
Natamani kuishi ndani ya mioyo ya watoto waishio katika mazingira magumu,yatima na wengineo.

Hii ni ndoto yangu kubwa mno katika maisha yangu na ninaamini nitakuja kuitimiza tu.

Maisha ya upweke Kwa mtoto ni magumu sana 🥺🥺🥺


Nakumbuka mwaka fulani nilikwenda kutembelea kituo cha watoto yatima(hii ni kawaida katika maisha yangu kufanya hivi)nikakutana na katoto kakiume kama miaka minne hivi kamekaa pekeyake pembeni ya mlango chini..jamani nililia mnooo (Nina huruma iliyopitiliza Kwa watoto)

Nakumbuka niliishia kutoa mizigo niliyopeleka..nikaongea kidogo nikaondoka..nilishindwa kuendelea kumwangalia zaidi yule mtoto..

Kilio kikaanza kwenye gari sasa🥺🥺🥺ilibidi dereva apark pembeni aanze kunibembeleza upya.

Picha ya huyu mtoto bado ipo kichwani haijawahi kunitoka kabisa na ndio picha inayonipa msukumo zaidi kutaka kuwa mama wa watoto wengi sana.

Natamani kuwa mbegu iliyo hai mioyoni mwa watoto walioamini kuwa wamekosa tumaini.
 
Huyo dereva natamani ningekuwa mimi sikuhio
 
Natamani kuishi ndani ya mioyo ya watoto waishio katika mazingira magumu,yatima na wengineo.

Hii ni ndoto yangu kubwa mno katika maisha yangu na ninaamini nitakuja kuitimiza tu.

Hakika umechagua fungu lililo jema...

Kuna wakati huwa nasita kuchangia harusi (nawaambia sina hela), halafu ule mshiko nausogeza sadaka kwa kituo fulani hivi cha watoto yatima...
 
Jamaa ajitwalie tu mtoto wa Kifilipino, Kijepu, Kichina au hata wazungu wa Scand...huwa wanakua(ga) down to earth sana wale
Jamaa ana psychological problem huwa tunamlaumu bure tu! Ila watu kama

Liverpool hupataga mademu wazuri sana na wenye huruma tokana na history yao.

Sina tatizo la Psychological loloteee.
Haya ndio maisha niliyo amua.

Mwezi wa 9 napanda ndege na 01/10/2022 nitakua darasani nikiianza safari yangu ya kuitafuta PhD.

Nimeamua kuchukua njia ya kutafuta hela na kusoma.
Hayo ya kuoa YANAWAFAA NYIE.

Mtu kuamua kuchagua njia ambayo huikubali haimaniishi yeye ana matatizo na wewe upo sawa.

Binafsi SINYWI POMBE KABISA, ila nadhani wewe unatumia ARE YOU PSYCHOLOGICAL PROBLEM WITH POMBE?

#YNWA
 
Hahahahahah sawa mkuu sio swala we endelea na linalokufurahisha wala sio kosa kabisa. Ni maamuzi tu mkuu
 
Sijasoma maelezo zaidi ya kichwa cha habari ila hii inatoa majibu kwanini hauamini katika ndoa.

Kwanini hauamini katika muunganiko.

Kwanini hauamini katika watu kua pamoja, familia n.k.

Now am not saying kila aliyepitia uyatima ana maoni yako but it obviously means ulipitia rough childhood.

Hope you will heal.
 
🥺🥺
 
Imeniuma sana
 
Hasira za mama zako wadogo ndo unashushia watoto wa watu, nilitegemea ulivyoumizwa wewe usingekuwa unaumiza wengine,, kuanza PhD si mafanikio sana maisha yanaweza kukuchapa vizuri na PhD yako, ishi vizuri na watu punguza kiburi na majivuno,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…