Nimeyakumbuka maisha yangu ya uyatima; Uyatima ni noma sana ndugu zangu

Amen Rey..
Ninaamini nitafika ninakoelekea mama.

Hongera sana na Mungu azidi kukutangulia Kwa kila ukifanyacho ndugu yangu.

Maisha ni fumbo kubwa sana
 
Sawa.Na pole sana ila uoe sasa.
 

Nafarijika sana kuona kuna watu wenye mioyo na ndoto kama wewe
Mungu akusimamie na ufanikiwe
 
Mungu akuongoze sana
 
Amen Rey..
Ninaamini nitafika ninakoelekea mama.

Hongera sana na Mungu azidi kukutangulia Kwa kila ukifanyacho ndugu yangu.

Maisha ni fumbo kubwa sana
Ahsante dear!ndoto zako zitatimia tu mdogo mdogo hata kwa kuchelewa na naimani utafanikisha vzr kabisaa!Mungu akutangulie!
Maisha hayatabiriki kuna watu wanaamini hawatakufa au hawatapata majanga ndo maana wanatenda sana ubaya kwa wengine!
 
Halafu mmeshangaa sana yaani shangazi huyu ana moyo mwema hvyoo!mi najuaga ndugu wa mama ndo wanakuwaga na moyo kumbe wapo wenye mioyo mibaaya daahhh!mmeshangaa sana!yaani hukoo waliko wanajuta Leo wanaona ht aibu kwa ubaya wao

Mara nyingi sana ndg. upande wa mama huwa bega kwa bega na watoto wa dada/wadogo zao.

Katika maisha tunapitia changamoto nyingi sana, lakini siku zote tusiwasahau waliotushika mkono katika mafanikio yetu ya sasa.

Kwa upande wangu nitamshika mkono aliyenishika mkono, kuna ndugu unaona kabisa ana nia ya kukusaidia lakini hali hairuhusu (Una uhitaji wa laki 1 anakupatia 5000, na hapo kajikamua sana).
 
Ahsante dear!ndoto zako zitatimia tu mdogo mdogo hata kwa kuchelewa na naimani utafanikisha vzr kabisaa!Mungu akutangulie!
Maisha hayatabiriki kuna watu wanaamini hawatakufa au hawatapata majanga ndo maana wanatenda sana ubaya kwa wengine!
Amen comment zenu nitazifanyia kazi ninwaahidi
 
Cjawahi kua na kinyongo kwa walio nitendea uhaini akiwa na shida ntamsaidia tu mazoea staki.
 
Pole mkuu. Dah Kuna watu Wana roho mbaya Sana apa duniani. Lkn fanikiwa sasa, ndio utawaona wanajileta.
 
Asante sana Mungu kwa kunipa mama aliyenipatia kila kitu hadi hapa nilipo. Aliweza hata kukopa nifanye masters...
Japo ametangulia mbele ya haki lakini bado ninamshukuru Mungu kwa malezi ya mama yangu hadi mwezi uliopita alipopumzika.
Pumzika mama yangu...nilitamani ule matunda ya kazi yako lakini basi Mungu hakupenda..
Utakuwa moyoni mwangu daima...
Ulichonifundisha kipo moyoni mwangu...
 
Amen.
Twende PhD sasa Tukamalize kabisa.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…