Nimeyakumbuka maisha yangu ya uyatima; Uyatima ni noma sana ndugu zangu

Dawa ya moto ni moto. Safi sana kwa uamuzi uliochukua. Tena ingekua ndugu wa baba unabadili kabisa ubini na kabila.
 
Dah inauma!!!....
 
Pole sana ngu yangu.

Mimi naamini ni wacache sana watakaofurahia kufanikiwa kwako, usidhani kua ni ndugu zako, hapana hata hao wapo wataochukua kufanikiwa kwako. Na ili usifanikiwe ndo kama hivyo wengine hukuoneshea waziwazi kauzibe ila wengine ndo hung'ata huku wanapuliza.

Lakini kati ya hao wote mara nyingi hupatikana ambaye anaweza kukulea kama mama/baba na bahati mbaya sana yatima walio wengi huwa wanazingua sana wakidekezwa/kupata mlezi asiewatesa.

Maisha ni mapito, si ajabu ungetaka kulipa kisasi huenda hata usingekuepo leo labda na wewe wangekulipia kisasi. Naamini umesamehe na kusahau.

Kuhusu kuoa nadhani hapa si mahala pake, wadau waliioa wake fake wapunguze hasira juu yako, kuoa ama kutokuoa hayo ni maamuzi binafsi.
 
Pole sana mkuu, ila kama ni mie ningeanza kumshughulikia mmoja baada ya mmoja.

Napenda kufanya visasi kusamehe labda nipende tu.

Unifanyie ubaya then nikuangalie tu!... Hapana naweza kujidhuru mwenyewe.
Ikatae iyo roho kwa nguvu zako zote.
 
Hongera sana mkuu kwa moyo huo,Mungu akuzidishie.
 
Maskini akipata matako hulia mbwata
 
Ulitakiwa umchukue uka ishi nae, umsomeshe, sio kujiliza tu
 
Reactions: ris
polee mkuu pole sana binadamu sisi sio kabisa
 
Daaaah..man..nimeskia uchungu sanaaaaa

Kwel nmeamin ukikutana na mtu ana shida ..msaidie tu bila kumuuliza maswaal...aisee mkuu naamin utafika mbali sana na utakua mtu wa maana sana nchin hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…