Nimezaa na wanawake tofauti,watoto wa mke mkubwa wanaongoza darasani, waliobaki mhh

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Mimi binafsi sijawahi kuvuka nafasi ya tatu tangu nianze darasa la kwanza

Chuoni sijawahi kusupp au kudisco japo niliwahi kudrop chuo kwa sababu ambazo sio za kitaakuma..

Watoto wa mke mkubwa wana akili kunizidi, mkubwa alioata Div 1 pts 4,mdogo wake nwaka huu darada la saba amepiga A tupu.

Wanawake waliobaki sasa wana akili za average,sio vilaza sio vipanga,hii maana yake nini,??

Maana yake watoto urithi akili za mama zao,kuwa makini na wanawake unaotaka kuoa au kuzaa nao je wana akili kiasi gani
 
Inamaana kubwa san hiyo!

Ila mpka nikupige Rungu la Ugoko ndio nitakwambia maana yake.

20241029_165603.jpg

JobTrueTrue
 
Mimi binafsi sijawahi kuvuka nafasi ya tatu tangu nianze darasa la kwanza

Chuoni sijawahi kusupp au kudisco japo niliwahi kudrop chuo kwa sababu ambazo sio za kitaakuma..

Watoto wa mke mkubwa wana akili kunizidi, mkubwa alioata Div 1 pts 4,mdogo wake nwaka huu darada la saba amepiga A tupu.

Wanawake waliobaki sasa wana akili za average,sio vilaza sio vipanga,hii maana yake nini
Hivo ulivozaa zaa kama kuku inamaanisha hao watoto wa wanawake wadogo ndio wako, wa mke mkubwa kapime DNA,
 
Mimi binafsi sijawahi kuvuka nafasi ya tatu tangu nianze darasa la kwanza

Chuoni sijawahi kusupp au kudisco japo niliwahi kudrop chuo kwa sababu ambazo sio za kitaakuma..

Watoto wa mke mkubwa wana akili kunizidi, mkubwa alioata Div 1 pts 4,mdogo wake nwaka huu darada la saba amepiga A tupu.

Wanawake waliobaki sasa wana akili za average,sio vilaza sio vipanga,hii maana yake nini
Mkuu mbona kama vile unataka tukushauri ujinga. Kama wewe ulikua na akili na jemama yao? Kama nae alikua nazo, unataka tuseme sio wako mkuu? Hapana ni kawaida tu, ni biological makeup nao wamejmbwa hivyo
 
Kuna meseji imefichwa hapo kuwa kabla ya kuoa angalia akili ya mke wako kwanza
 
Back
Top Bottom