Nimezaa na wanawake tofauti,watoto wa mke mkubwa wanaongoza darasani, waliobaki mhh

Nimezaa na wanawake tofauti,watoto wa mke mkubwa wanaongoza darasani, waliobaki mhh

Mengi mpaka anakufa hana mjukuu,kijana waje mkubwa Motie Rodney alikufa early 2000 bila mtoto,hawa wakubwa waliobaki hawajaoa wala kuolewa ,so wakifa biashara imekufa,he was right kutafuta warithi wa jona na mali hata kama hatakuwepo dunianj
Maskini huwa tunawambia Hela sio kila kitu wanapinga.

Asante kwa kunipa taarifa zaidi sikujua kama mzee alikuwa anapitia mambo mazito namna hii.

Nimekosa mimi, nimekosa sana.
 
Kuna kitu hukijui,Legacy advocancy,usione vigogo wanataka kurithisha watoto wao uongozi,its all about legacy advocacy,Uhuru Kenyata alizaliwa baba yake akiwa na miaka 60+ so kuanzia 1960s mpaka leo. Familia yao haijasahulika,ndio maana kuna jamii mtoto wa kiune anakuwa oreferd kuliko wa kike ili kuendeleza Legacy.
Hakuna mtu wa kuendeleza jina lako kama haupo zaidi ya uzao wako.
Mengi mpaka anakufa hana mjukuu,kijana waje mkubwa Motie Rodney alikufa early 2000 bila mtoto,hawa wakubwa waliobaki hawajaoa wala kuolewa ,so wakifa biashara imekufa,he was right kutafuta warithi wa jona na mali hata kama hatakuwepo dunianj
Kuna Yule Mtoto wa kike alioleww na mzanzibar naye hakupata watoto?
 
Mimi wazee wangu hawajakanyags shule kabisa .Kazii ya juu waliofanya ilikuwa ni kufagia pale Mwatex .So inawezekana😂😂
Usichanganye mambo,unaweza kuwa na akili usipate fursa ya kupelekwa shule,huenda wazazi wako walikuwa na akili ila hswakupelekwa shule,kuna wajinga wengi tu wamejaza mavyeti ndani
 
Usichanganye mambo,unaweza kuwa na akili usipate fursa ya kupelekwa shule,huenda wazazi wako walikuwa na akili ila hswakupelekwa shule,kuna wajinga wengi tu wamejaza mavyeti ndani
Rejea bundle langu la vyeti vya kidato cha nne mpaka umesema nimerithi kwa mmoja😂😋😋
 
Mimi binafsi sijawahi kuvuka nafasi ya tatu tangu nianze darasa la kwanza

Chuoni sijawahi kusupp au kudisco japo niliwahi kudrop chuo kwa sababu ambazo sio za kitaakuma..

Watoto wa mke mkubwa wana akili kunizidi, mkubwa alioata Div 1 pts 4,mdogo wake nwaka huu darada la saba amepiga A tupu.

Wanawake waliobaki sasa wana akili za average,sio vilaza sio vipanga,hii maana yake nini,??

Maana yake watoto urithi akili za mama zao,kuwa makini na wanawake unaotaka kuoa au kuzaa nao je wana akili kiasi gani
Watoto wanachukua akili za mama hii imetokana na uchunguzi wangu nilioufanya. Kuna watoto wengi wa kishua wanaosumbua mama zao ni vilaza. Na kama Mama ana akili jua kuwa hapo nyumbani Mama ndiyo ana hela kuliko mumewe fanya uchunguzi na uje utuambie. Kuna bilionea alizaa na mabaamedi kibao watoto wake wote ni vilaza wengine amewasomesha mpaka Australia. Silaumu au kumsema vibaya mtu lakini inabidi tujifunze.
 
Mimi binafsi sijawahi kuvuka nafasi ya tatu tangu nianze darasa la kwanza

Chuoni sijawahi kusupp au kudisco japo niliwahi kudrop chuo kwa sababu ambazo sio za kitaakuma..

Watoto wa mke mkubwa wana akili kunizidi, mkubwa alioata Div 1 pts 4,mdogo wake nwaka huu darada la saba amepiga A tupu.

Wanawake waliobaki sasa wana akili za average,sio vilaza sio vipanga,hii maana yake nini,??

Maana yake watoto urithi akili za mama zao,kuwa makini na wanawake unaotaka kuoa au kuzaa nao je wana akili kiasi gani
Unajuaje mtoto yeyote hapo ni wako?
 
Kwenye familia yetu Kuna Prof watatu lkn Sasa sio tegemezi kwenye familia tegemezi mzee wangu ambae kaishia lasaba yeye ndiyo anajua shida za wazazi wake na kutatua hao wasomii wametekwa na wake zao na wakike katekwa na waganga
Kawaida sana hiyo hak7naga mtoto asiye na umuhimu
 
Back
Top Bottom