mayounger
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 693
- 670
Amezaa zaa kama kuku 😂😂😂Hivo ulivozaa zaa kama kuku inamaanisha hao watoto wa wanawake wadogo ndio wako, wa mke mkubwa kapime DNA,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amezaa zaa kama kuku 😂😂😂Hivo ulivozaa zaa kama kuku inamaanisha hao watoto wa wanawake wadogo ndio wako, wa mke mkubwa kapime DNA,
Mkuu una Umri mkubwa bado una watoto wa Primary?Mimi binafsi sijawahi kuvuka nafasi ya tatu tangu nianze darasa la kwanza
Chuoni sijawahi kusupp au kudisco japo niliwahi kudrop chuo kwa sababu ambazo sio za kitaakuma..
Watoto wa mke mkubwa wana akili kunizidi, mkubwa alioata Div 1 pts 4,mdogo wake nwaka huu darada la saba amepiga A tupu.
Wanawake waliobaki sasa wana akili za average,sio vilaza sio vipanga,hii maana yake nini,??
Maana yake watoto urithi akili za mama zao,kuwa makini na wanawake unaotaka kuoa au kuzaa nao je wana akili kiasi gani
Kitaakuma 🤣 ila umeelewekaMimi binafsi sijawahi kuvuka nafasi ya tatu tangu nianze darasa la kwanza
Chuoni sijawahi kusupp au kudisco japo niliwahi kudrop chuo kwa sababu ambazo sio za kitaakuma..
Watoto wa mke mkubwa wana akili kunizidi, mkubwa alioata Div 1 pts 4,mdogo wake nwaka huu darada la saba amepiga A tupu.
Wanawake waliobaki sasa wana akili za average,sio vilaza sio vipanga,hii maana yake nini,??
Maana yake watoto urithi akili za mama zao,kuwa makini na wanawake unaotaka kuoa au kuzaa nao je wana akili kiasi gani
Wewe si ulisema ulikuwa pamoja na kina Prof Masilingi mnaishi Marekani enzi za Nyerere?Umri wangu umeujulia wapi?
Unanifahamu?
Hao wenye akili average walishe mayai ya kienyeji, ndizi mbivu, uone watakavyokuwa vichwa class.Umri wangu umeujulia wapi?
Unanifahamu?
Hapo safi sanaHao wenye akili average walishe mayai ya kienyeji, ndizi mbivu, uone watakavyokuwa vichwa class.
Ila pia akili hutegemea ukoo mtokao mke na mume, Kuna wengine baba hamna mama hamna lakini mtoto achaa kbsaa.
Mfano kwetu , Kuna mmoja karithi akili za Babu, baba na mama wote wapo average lkn mtoto wao kichwa hataree.
Sio masilingi ni Mahiga,ilikuwa early 2000
Kawaacha watoto wadogp hawana Baba kwa urafi wake wa nyapu.Mimi ni classmate wa haji Manara,Kitenge na Ben Kinyaiya,so sio mzee sio kijana,kumbuka Reginald Mengi watoto wake wa mwisho wako Primary bado ,na alikufa akiwa Mzee,
Hakuna chakula kitachomfanya mtoto awe genius,hayo ni mawazo ya kijingaHao wenye akili average walishe mayai ya kienyeji, ndizi mbivu, uone watakavyokuwa vichwa class.
Ila pia akili hutegemea ukoo mtokao mke na mume, Kuna wengine baba hamna mama hamna lakini mtoto achaa kbsaa.
Mfano kwetu , Kuna mmoja karithi akili za Babu, baba na mama wote wapo average lkn mtoto wao kichwa hataree.
Na pia akili huletwa na lishe ya mama akiwa mjamzito, anakula vyakula gani!?, Akila vyakula vya lishe mtoto anatoka kichwani yupo vzrii sanaa.
Na bado maisha yanasonga.Nikikuonesha bundle langu la vyeti vyangu vya kurisiti mbona kamzozo .Akili zangu zilikuwa nzito kama futari ya magimbi iliyopoa.Sio kila mtu ana akili.
Kuna kitu hukijui,Legacy advocancy,usione vigogo wanataka kurithisha watoto wao uongozi,its all about legacy advocacy,Uhuru Kenyata alizaliwa baba yake akiwa na miaka 60+ so kuanzia 1960s mpaka leo. Familia yao haijasahulika,ndio maana kuna jamii mtoto wa kiune anakuwa oreferd kuliko wa kike ili kuendeleza Legacy.Kawaacha watoto wadogp hawana Baba kwa urafi wake wa nyapu.
Mtu tajiri bilionea at your 70s kitu gani ambacho hujapata kwenye maisha unachodhani utakipata ukiwa na 70yrs?