Nimezaa na wanawake tofauti,watoto wa mke mkubwa wanaongoza darasani, waliobaki mhh

Nimezaa na wanawake tofauti,watoto wa mke mkubwa wanaongoza darasani, waliobaki mhh

Kwenye familia yetu Kuna Prof watatu lkn Sasa sio tegemezi kwenye familia tegemezi mzee wangu ambae kaishia lasaba yeye ndiyo anajua shida za wazazi wake na kutatua hao wasomii wametekwa na wake zao na wakike katekwa na waganga
AKili ni ule uwezo wa kutatua changa moto za kimaisha ikiwa Degree na Vyeti vimefutwa kichwani.

Yaani ukiondoa vyeti zile sinazobaki ndio akili. Tupimane hapo.
 
Hiyo ni kawaida hata kwetu imetokea hvyo....
Mtoto huchukua 60% kwa mama
Halafu 40% kwa baba🀝

Ndo ukifatilia vyema utagundua watoto walozaliwa kwa mama mmoja huwa hawapishani Sana IQ... Yani huwez kuta mmoja n kilaza kabisa halafu mwingine kipanga

Wakiwa wanaakili inakuwa n wote japo kupishana kidogo ipo

Na wakiwa wajinga basi n bus zima🀣
 
Mimi binafsi sijawahi kuvuka nafasi ya tatu tangu nianze darasa la kwanza

Chuoni sijawahi kusupp au kudisco japo niliwahi kudrop chuo kwa sababu ambazo sio za kitaakuma..

Watoto wa mke mkubwa wana akili kunizidi, mkubwa alioata Div 1 pts 4,mdogo wake nwaka huu darada la saba amepiga A tupu.

Wanawake waliobaki sasa wana akili za average,sio vilaza sio vipanga,hii maana yake nini,??

Maana yake watoto urithi akili za mama zao,kuwa makini na wanawake unaotaka kuoa au kuzaa nao je wana akili kiasi gani
Umezaa na mautopolo matoto yamekuwa utopolo square! Sasa ukichanganya na akili zako ndiyo bure kabisa!
 
Back
Top Bottom