Hivo ulivozaa zaa kama kuku inamaanisha hao watoto wa wanawake wadogo ndio wako, wa mke mkubwa kapime DNA,Mimi binafsi sijawahi kuvuka nafasi ya tatu tangu nianze darasa la kwanza
Chuoni sijawahi kusupp au kudisco japo niliwahi kudrop chuo kwa sababu ambazo sio za kitaakuma..
Watoto wa mke mkubwa wana akili kunizidi, mkubwa alioata Div 1 pts 4,mdogo wake nwaka huu darada la saba amepiga A tupu.
Wanawake waliobaki sasa wana akili za average,sio vilaza sio vipanga,hii maana yake nini
Mkuu mbona kama vile unataka tukushauri ujinga. Kama wewe ulikua na akili na jemama yao? Kama nae alikua nazo, unataka tuseme sio wako mkuu? Hapana ni kawaida tu, ni biological makeup nao wamejmbwa hivyoMimi binafsi sijawahi kuvuka nafasi ya tatu tangu nianze darasa la kwanza
Chuoni sijawahi kusupp au kudisco japo niliwahi kudrop chuo kwa sababu ambazo sio za kitaakuma..
Watoto wa mke mkubwa wana akili kunizidi, mkubwa alioata Div 1 pts 4,mdogo wake nwaka huu darada la saba amepiga A tupu.
Wanawake waliobaki sasa wana akili za average,sio vilaza sio vipanga,hii maana yake nini
Kuna meseji imefichwa hapo kuwa kabla ya kuoa angalia akili ya mke wako kwanzaMkuu mbona kama vile unataka tukushauri ujinga. Kama wewe ulikua na akili na jemama yao? Kama nae alikua nazo, unataka tuseme sio wako mkuu? Hapana ni kawaida tu, ni biological makeup nao wamejmbwa hivyo
Sahihi. Hata mke aangalie akili ya mume maana 😂😂Kuna meseji imefichwa hapo kuwa kabla ya kuoa angalia akili ya mke wako kwanza
fuatilia, utakuja nishukuru.Yaweza kuwa kweli