Nimezaa na wanawake tofauti,watoto wa mke mkubwa wanaongoza darasani, waliobaki mhh

Kwenye familia yetu Kuna Prof watatu lkn Sasa sio tegemezi kwenye familia tegemezi mzee wangu ambae kaishia lasaba yeye ndiyo anajua shida za wazazi wake na kutatua hao wasomii wametekwa na wake zao na wakike katekwa na waganga
AKili ni ule uwezo wa kutatua changa moto za kimaisha ikiwa Degree na Vyeti vimefutwa kichwani.

Yaani ukiondoa vyeti zile sinazobaki ndio akili. Tupimane hapo.
 
Hiyo ni kawaida hata kwetu imetokea hvyo....
Mtoto huchukua 60% kwa mama
Halafu 40% kwa baba🀝

Ndo ukifatilia vyema utagundua watoto walozaliwa kwa mama mmoja huwa hawapishani Sana IQ... Yani huwez kuta mmoja n kilaza kabisa halafu mwingine kipanga

Wakiwa wanaakili inakuwa n wote japo kupishana kidogo ipo

Na wakiwa wajinga basi n bus zima🀣
 
Umezaa na mautopolo matoto yamekuwa utopolo square! Sasa ukichanganya na akili zako ndiyo bure kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…